Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Swali : Mohamed Dewij ni nani
Jibu: ni mfanyabiashara
Swali: Nini kimemtokea
Jibu: Inasemekana katekwa lakini inawezekana akawa amekamatwa.
Swali: Unamaanisha nini?
Jibu: nahusisha na mazingira ya kibiashara nchini kwa sasa.
Swali: Unamaanisha Biashara ni uharifu?
Jibu: Simaanishi hivyo moja kwa moja, lakini kuna namna unaweza fanya biashara zako harali lakini kwa namna inayohujumu uchumi wa nchi, ukajikuta unafanya makosa ya uhujumu uchumi na kupelekea kutekwa au kukamatwa.
Swali: Una ushahidi.
Jibu: ndio.
Swali: Nipe
Jibu: ni wa maelezo lakini.
Swali: Unaweza elezea?
Jibu: Ndio, wapo wafanyabishara ambao wamepata kukamatwa na wengine kutekwa kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Swali:Unauhakika?
Jibu: Mbona wapo wengi tu
Swali: Unaweza nitajia Mfanyabiashara aliyetekwa kwa makosa ya uhujumu uchumi?
Jibu: Ndio, ila yeye hakutekwa sababu aliwashambulia watekaji wake.
Swali: sasa kama hakutekwa unahusisha vipi na uhujumu uchumi?
Jibu: alipokuja kukamatwa zaidi ya kufunguliwa mashtaka ya kuwashambulia watekaji wake aliongezewa na mashtaka ya uhujumu uchumi?
Swali;kwa hiyo
Jibu: sasa hapo unataka nikuelezee nini?
Swali: Unawajua hao waliotaka kumteka?
Jibu: hawajulikani.