Mpaka watekwe matajiri ndio Serikali iamke kutoka usingizini

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.

Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina Roma Mkatoliki, Ben Saanane, na wengine chungu nzima,serikali ikafumba macho na haikuona umuhimu wa utatuzi wa kero hii kwakuwa wengi waliokuwa wakitekwa ni watu waliokuwa wakiikosoa serikali na utawala wake.
Kangi Lugola waziri wa Mambo ya Ndani alisema utekaji haupo na hamna aliyewahi kutekwa, hata Azori hakutekwa, tukasema inshallah.
Sasa katekwa muwekezaji Mkubwa, serikali itaificha wapi aibu hii? Bilionea gani atapenda kuja kuwekeza Tanzania sehemu ambayo wawekezaji wanatekwa?
Tunaiomba serikali Kila tatizo ilishughulikie kikamilifu, bila kujali limewapata masikini ama matajiri.
 
Hapa tayari ulishaingiza siasa na kulifanya tukio hili kuwa mtaji wa kisiasa?? hivi mtakua lini na kupevuka akili watanzania??
 
NIkajua labda unatuhabarisha jinsi serikali ilivyoamka usingizini!!
 
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.

Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina Roma Mkatoliki, Ben Saanane, na wengine chungu nzima,serikali ikafumba macho na haikuona umuhimu wa utatuzi wa kero hii kwakuwa wengi waliokuwa wakitekwa ni watu waliokuwa wakiikosoa serikali na utawala wake.
Kangi Lugola waziri wa Mambo ya Ndani alisema utekaji haupo na hamna aliyewahi kutekwa, hata Azori hakutekwa, tukasema inshallah.
Sasa katekwa muwekezaji Mkubwa, serikali itaificha wapi aibu hii? Bilionea gani atapenda kuja kuwekeza Tanzania sehemu ambayo wawekezaji wanatekwa?
Tunaiomba serikali Kila tatizo ilishughulikie kikamilifu, bila kujali limewapata masikini ama matajiri.
Wasioelewa watapnga
 
"ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. ukishaanza tu utaendelea kuila." NYERERE.

"Wakimalizana nasi, watawageukieni ninyi" LISSU.
 
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.

Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina Roma Mkatoliki, Ben Saanane, na wengine chungu nzima,serikali ikafumba macho na haikuona umuhimu wa utatuzi wa kero hii kwakuwa wengi waliokuwa wakitekwa ni watu waliokuwa wakiikosoa serikali na utawala wake.
Kangi Lugola waziri wa Mambo ya Ndani alisema utekaji haupo na hamna aliyewahi kutekwa, hata Azori hakutekwa, tukasema inshallah.
Sasa katekwa muwekezaji Mkubwa, serikali itaificha wapi aibu hii? Bilionea gani atapenda kuja kuwekeza Tanzania sehemu ambayo wawekezaji wanatekwa?
Tunaiomba serikali Kila tatizo ilishughulikie kikamilifu, bila kujali limewapata masikini ama matajiri.
Mbona umejiuliza swali na ukajijibu mwenyewe?

Serikali imeamka kwa sababu huyo jamaa ni mwekezaji mkubwa ws ndani.

Halafu mbona hata kipindi kile yule Nondo alipotekwa serikali iliamka?

ASANTE
 
Tayari image ya nchi imechafuka, Tz sio mahali salama kwa maisha ya wawekezaji.
Wakija kuniteka nitawafungulia majoka wapambane nayo
Mbona umejiuliza swali na ukajijibu mwenyewe?

Serikali imeamka kwa sababu huyo jamaa ni mwekezaji mkubwa ws ndani.

Halafu mbona hata kipindi kile yule Nondo alipotekwa serikali iliamka?

ASANTE
 
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.

Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina Roma Mkatoliki, Ben Saanane, na wengine chungu nzima,serikali ikafumba macho na haikuona umuhimu wa utatuzi wa kero hii kwakuwa wengi waliokuwa wakitekwa ni watu waliokuwa wakiikosoa serikali na utawala wake.
Kangi Lugola waziri wa Mambo ya Ndani alisema utekaji haupo na hamna aliyewahi kutekwa, hata Azori hakutekwa, tukasema inshallah.
Sasa katekwa muwekezaji Mkubwa, serikali itaificha wapi aibu hii? Bilionea gani atapenda kuja kuwekeza Tanzania sehemu ambayo wawekezaji wanatekwa?
Tunaiomba serikali Kila tatizo ilishughulikie kikamilifu, bila kujali limewapata masikini ama matajiri.
umesema vyema madame ".. hakuna muwekezaji atakaye taka kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo sio salama ... daaahh ila hii ni aibu kubwa sana Aisee kwa taifa
 
Back
Top Bottom