Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini...
Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo,
Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1
Ila viongozi...
Wewe ni mjanja vya kutosha kuona njia…
lakini husogei kwa kasi ya kutosha kuitembea.
Hivi ndivyo mitego 7 inayowafanya wanaume wenye akili kubaki wamekwama, maskini, na wenye msongo huku watu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa...
Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni.
Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Mei 16, 2026 ametembelea mradi wa uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu unaosimamiwa na Ofisi ya Meneja wa...
Nimewaita mara tatu , hivi nyie umbwa mwezi wa tatu sasa Kimara na Kivukoni hakuna huduma ya choo na mnasafirisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo wagonjwa watoto etc, hivi kwenye nchi hiyo...
𝗗𝗞𝗧 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗘𝗨𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗜𝗡𝗔𝗜
Inatokana na ahadi yake ya kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande
Imeundwa na majaji watatu,chini ya Mwenyekiti Jaji wa Rufani Shabani Lila
Ni hatua ya...
Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati...
Wajerumani walifanikisha breed ya GS kutoka mbwa wa kawaida na wolf (mbweha), kwanini sisi waafrika tusitafute breed ya mbwa koko na mbwa mwitu?
Ni aina ya mbwa ambao wako loyal sana kwa wenzao...
KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha...
Wakuu leo nimeona huo Mjadala wa nchi kumi zenye bei kubwa zaidi ya mafuta umeibua hoja nyingi, lakini jambo moja lililokosekana ni ulinganisho wa mzigo halisi kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika...
Kuna wadau wengi sana wamekuwa wakiamini kufanikiwa hapa duniani basi Kuna nguvu za Giza au uchawi fulani, ingawa kama unajicho zuri la kutazama na kuunganisha mambo utaona hakuna miujiza yeyote...
Kuwa na vijana ni rahaa sana tena wamejikita kwenye teknolojia.
Hii AI kuna mambo mengi naona hata asilimia moja tujafikisha kabisa
Nimemuona kijana anatumia Linux kwenye server zake hapa...
TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na...
Wakuu,
Wimbi la kupanda kwa bei ya mafuta nchini limeanza kuleta mtafaruku mkubwa katika sekta ya usafiri, huku kukiwa na malalamiko mazito kutoka kwa abiria kuhusu ongezeko la nauli kinyume cha...
Nilivyonunua sasa vipo chini na Kila weekend ntajifunza.
Futi, Angle grinder, welding machine 300, msasa wa umeme aka orbital sander, jigsaw na driler zote za ingco.
Je nimekamiika au...