Mwendokasi Mwendokasi Mwendokasi

Mwendokasi Mwendokasi Mwendokasi

Janja weed

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
3,473
Reaction score
6,182
Nimewaita mara tatu , hivi nyie umbwa mwezi wa tatu sasa Kimara na Kivukoni hakuna huduma ya choo na mnasafirisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo wagonjwa watoto etc, hivi kwenye nchi hiyo mnaweza nini? Kusimamia hata choo mnashindwa, then kuna matakataka utayasikia Sijui serikali ya mama nani Sijui inaupiga mwingi. ShenZi Kabisa SHIT HOLE.
 
Back
Top Bottom