Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee sijawai kuona kampuni ya usafiri wa anga ya hovyo kupata kutokea duniani kama hii. Hii kampuni kwanza customer care yao ni mbovu bora hata shabiby hawa jamaa unaweza kupiga simu wiki nzima...
6 Reactions
18 Replies
338 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Ubungo Riverside, eneo maarufu kama Kwa Novo. Kwa takribani miezi saba sasa, maji ya DAWASA hayatoki kabisa, jambo ambalo limeleta adha kubwa kwa wakazi wa eneo hili. Kwa sasa...
2 Reactions
6 Replies
172 Views
Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu. Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa...
12 Reactions
213 Replies
21K Views
Ni wiki ya pili sasa wananchi wa Mtaa wa Vibura, Kata ya Vikundi-Kisemvule, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani tukiwa katika hali ya taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa kutoka kwa watu waliokuja...
3 Reactions
53 Replies
873 Views
Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi...
1 Reactions
12 Replies
198 Views
Naona kama kitimoto inajikaanga kwa mafuta yake
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Nchi wazalishaji wakubwa wa kondomu(Malaysia na Thailand) zinapanga kuongeza bei ya kondomu kwa asilimia 20-30 sababu ya kupanda kwa bei za uzalishaji(mafuta). Gloves nazo zitapanda sababu...
3 Reactions
6 Replies
201 Views
Amani na iwe kwenu. Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani...
124 Reactions
869 Replies
257K Views
Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo Ila...
1 Reactions
1 Replies
125 Views
1. Kikawaida Wanawake Wazuri na Wife materials huolewa kabla ya miaka 25. Hilo ni Jambo la kawaida kabisa. 2. Wazazi wengi hutaka mabinti zao waolewe wakiwa na miaka Chini ya 25. Kutokana na...
26 Reactions
187 Replies
3K Views
Watu wamejitokeza kwa wingi lakini wananipa mashaka kama wameenda kwa hiyari yao au wamekusanywa kwa malipo. Rio Ferdinand alishastaafu mpira miaka hiyo. Hakuwa na ushawishi mkubwa sana...
2 Reactions
45 Replies
958 Views
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa...
9 Reactions
16 Replies
561 Views
Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER) kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
2 Reactions
18 Replies
968 Views
Hawa ndio wanawaongoza tangu vikiwa vibinti vibichi. Wanawafundisha yale waliyo yaona katika video za pilau yani namaanisha wanafanya fantasies zao kwa hawa mabinti wadogo kwa kuwa lainisha na...
1 Reactions
5 Replies
173 Views
Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi Mwanaume na...
15 Reactions
34 Replies
948 Views
Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano...
1 Reactions
9 Replies
261 Views
Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M +...
9 Reactions
100 Replies
960 Views
Kuna jambo siwezi kulinyamazia. Kwa muda sasa nimekuwa nikitembelea Soko la Kunduchi jijini Dar es Salaam kufuata samaki na dagaa. Kiukweli, miundombinu ya soko hilo hairidhishi na inaacha maswali...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Back
Top Bottom