Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Mimi ni mtumiaji wa usafiri wa umma 'daladala' kila siku nikiwa naelekea au nikitoka kwenye mahangaiko yangu. Nimekuwa nikishuhudia wanafunzi hasa wa shule ya Msingi wakiwa na...
2 Reactions
14 Replies
201 Views
Hivi karibuni mimi pamoja na watu kadhaa wa karibu tumepitia tatizo la kiafya la kummwa na tumbo, kuharaha na wengine kutapika. Huu unaoneka sio ugonjwa wa kawaida ni kama kuna mlipuko wa homa ya...
0 Reactions
3 Replies
222 Views
UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika...
0 Reactions
6 Replies
173 Views
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ Tupo ndani masiku kumi ya mwanzo ya Dhul-Hijjah ni katika masiku matukufu mno mbele ya Allah سبحانه وتعالى. Ni masiku ambayo matendo mema hupendwa zaidi kuliko...
3 Reactions
1 Replies
112 Views
Hali ya sasa ni ngumu sana na ata wenye unafuu vipato havitoshi,sasa kuna wimbi kubwa la ndugu,jamaa na marafiki, mademu ambao wanapiga sana vizinga na mbaya zaidi kuwakwepa moja kwamoja ni vigumu...
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi Afrika ni...
8 Reactions
18 Replies
353 Views
Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa...
8 Reactions
63 Replies
2K Views
This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Pesa 10,000 zikiwa noti moja au zikikatwakatwa kuwa noti za 500, 1000, thamani yake haibadiliki. Lakini mjinga huona wingi wa noti na kudhani amepata utajiri mpya. Hili ni fundisho kubwa...
3 Reactions
1 Replies
102 Views
Tumeishi kuamini kwamba mtu akitabasamu anakupenda, akikupa nafasi anakutakia mema na kumbe kuna watu kazi yao ni kukualika kwenye meza ya heshima ili dunia ione vizuri utavyoanguka. Kuna watu...
7 Reactions
11 Replies
300 Views
Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL. Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal. Si mwengine bali ni...
2 Reactions
14 Replies
236 Views
Mwanamke raia wa Kenya anayefanya kazi nchini Saudi Arabia amesambaza video ikimuonyesha mwajiri wake akidaiwa kujaribu kumfanyia unyanyasaji wa kingono akiwa jikoni. Katika video hiyo, mwanamke...
9 Reactions
100 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anaondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA...
0 Reactions
7 Replies
393 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema umasikini wa Watanzania ni wa kutengenezwa, kutokana na nchi kushindwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata na kuongeza thamani Madini...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Yaani kama mbege ya bure au ya mahari wakiitana itaisha na hakuna hata utakae mwona akibeba kupeleka nyunbani . Je?wachaga hili lina ukweli?
7 Reactions
20 Replies
291 Views
Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo, Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1 Ila viongozi...
2 Reactions
18 Replies
273 Views
Wewe ni mjanja vya kutosha kuona njia… lakini husogei kwa kasi ya kutosha kuitembea. Hivi ndivyo mitego 7 inayowafanya wanaume wenye akili kubaki wamekwama, maskini, na wenye msongo huku watu...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Back
Top Bottom