PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,399
Reaction score
18,902
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

JAJI SHABANI LILA JF 2.png

Picha hii imeboreshwa na AI

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.

====

TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-

(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

1779113931865.png
 
Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Hii ya pili Ni kwa ajili ya polisi pekee au pia kama wako watu au raia waliohusika kuratibu na kutimiza jinai?kwa sababu kumbuka tume ya maji chandi ni kama ilipunguza kushukiwa kwa polisi kuhusika yaani ni kama iliwasafisha kwa asilimia kubwa
 
TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Hii ni dubious move nyingine ya huyo Rais Haram. Faki zati demon-possessed bi+ch!
 
Hii ya pili Ni kwa ajili ya polisi pekee au pia kama wako watu au raia waliohusika kuratibu na kutimiza jinai?
Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.

P
 
Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Nimecheka sana, muhalifu anajiundia tume ichunguze anachokitaka yeye, na ripoti ni Siri yake. Ila tume zote haziangalii credibility ya uchaguzi, maana muunda tume ni mshitakiwa mkuu. Inshort hiyo tume haichunguzi chochote, bali mahasimu wa rais na genge lake tayari wameshaorodheshwa. Kwa bahati mbaya kwa sasa hakuna wajinga wa hivyo.
 
Back
Top Bottom