Mkimaliza kupiga Kelele ya Kuomba kwa hali mbaya ya matukio ya Kiuhalifu mbalimbali yanayotokea nchini Tanzania waje ' Wachunguzi wa Kimataifa ' na Mimi GENTAMYCINE leo najitoa ' mhanga ' na...
Mwenyekiti wa Bodi ya wafanyabiashara Tanzania ni RAIS na mwenye dhamana ya kubatilisha umilikaji wa Ardhi Tanzania ni Rais!
Tukiwa tumemsubiri IGP Sirro aje mbele ya Watanzania atueleze Mo yupo...
Mnaohoji kuhusu ruzuku ndani ya Chadema sasa kokotoeni bei ya hizo Ford Ranger zilizoingia na kodi zimelipiwa zote kikamilifu TRA wamelamba chao
Sio kama Yale makontena ya bashite yanaingizwa...
Nimeangalia kipind cha kipima joto. Watu walioharikwa ni pamoja na ndugu Bujugo.wakati wa kuchangia, licha ya kuunga mkono mawazo ya Mbatia na vielelezo vyake mwisho amemsakama mama Ndalichako...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa katika msimu wa Novemba 2018 hadi Aprili 2019 katika kanda za magharibi, kati na nyanda za juu...
Kila nikisikia vijana wanafanya mahojiano na mtu yeyote mwenye mamlaka; huwa nakumbuka kauli hii ... isome
" Elimu inayotolewa nchini ni elimu inayojenga uwoga na utiifu usiohoji hata masuala ya...
Nimeota kuwa Tanzania itanyesha mvua kubwa itakayo haribu maeneo mengi sana. Nahisi huu ni mtazamo wangu kuwa Tanzania inatakiwa kujianda na mafuriko ya mvua ya hivi karibuni. Watanzania tuna...
Habar za mida wana jf wote napenda kujielekeza moja kwa moja ktk swali langu la msingi mimi ni mtumiaji wa mtandao wa cm jina hapo juu kuna Kifurushi kipya nimekiona kweny menu za voda ila sjawai...
Naomba nianze kwa maskitiko nikiwa kama mwananchi au abiria,kinachoendelea IRINGA kinasikitisha.Bajaji zimezuiwa kupita barabara kuu,na zikionekana baadhi ya sehem zinakamatwa.Madereva wa haisi...
Je unataka kumaintain heshima katika jamii , KEEP DISTANCE. Nikimaanisha usiwe wewe unapatikana popote wakati wote na kwa watu wote..
Distance ndiyo inatengeneza hadhi ya Mtu, usiwe mtu wa...
Kwanini vijana wa Afrika_Tanzania ni tegemezi na wapumbavu zaidi duniani?
Kila kijana anataka kucheza mchezo wa kubahatishia na kubashiri ili atoke kimaisha nchiya Tanzania inapokwenda kama...
Aisee kuna vitu vinachekesha hapa nchini
Mkurugenzi Wa TBC ujitafakari hata kama ni kituo cha serikali lakini naona imekua too much
Kila muda asubuhi mpaka usiku ni mapambio tu ya kumsifu mkulu...
Habari ya leo watanzania. Nina andika hoja hii kwa kuangalia mijadala mbalimbali na namna watu tunajenga hoja kuhusu kutatua jambo fulani la kijamii. Mtizamo wangu, ni kuwa tumekuwa watu wa...
Mzuqa
Tumesikia kusoma na kuona hasa kwa watoto wa kiume wengi walio karibu sana na baba zao wanakula shavu.
Mifano hai ni kwenye Bibilia takatifu Yusufu mwana wa Yakobo. Mfalme Daudi. Hata...
Mtandao gani wa kijamii unatumia sana au huwezi kupitisha hata siku moja bila Ku login? Kwanini unatumia sana huo mtandao?
1. Instagram
2. Twitter
3. Facebook
4. Others
Habar za jion wakuu,
Kupitia mtazamo wangu, hizi n baadh ya biashara ambazo naziona kuwa mtaji wake ni mkubwa tofaut na mategemeo ya faida
Naaanza na hizi baadh , unaweza kuongeza na zako:-...
Hbr ya weekend wakuu.
Niende kwenye mada.
Online Tv kinachoandikwa yaani HEADING ya VIDEO na ukifungua hiyo video utakachokikuta ni vitu viwili tofauti kabisa, mpaka unajuta kutumia MB zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.