Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Kila kitu kinachofanywa na serikali si sahihi. 2. Ukipinga yanayofanywa na viongozi wao hata kama ni madudu utaishia kutikanwa. 3.Ukimsifia kiongozi wao wewe ni shujaa na una akili. 4...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hilo nimelishuhudia hapa kahama mkoan shinyanga yaan neno mwanza nalisikia kila siku au mara kwa mara hapa kahama..utafiti unavoonyesha watu wa huku wanataman sana kwenda kwenye hilo jiji la raha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu, Tunao wasanii ambao hivi karibuni waliingia kwenye misukosuko kutokana na maudhui ya nyimbo zao kuonekana zimegusa siasa kwa namna ya kuichafua serikali na viongozi ukiachilia mbali zile...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi kipindi kile paul makonda kwenye sakata la madawa ya kulevya kitu gani kilisababisha ashinde makanisani na kwa masheikh akiombewa?? Je vipi mkulu wetu nae mda huu sijasikia kauli yake ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Acheni kutaka ' Kuhamisha ' mawazo ya Watanzania kwa ' Upuuzi ' wenu bali nyie mnaopoteza huu muda tunaomba tusaidiane kumtafuta Mtu ambaye ameajiri Watanzania 23,000 na anachangia 3.5 katika GDP...
8 Reactions
23 Replies
5K Views
Arusha. Daktari wa hospitali ya mkoa ya Mount Meru, ambaye ni shahidi wa nne, katika kesi ya kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa kidato cha kwanza wa shule ya Sekondari Adili ya Arusha, inayomkabili...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habarini Ndugu, Nina mashine yangu ya kusaga niliyonunua laki 8 (wanaziita small pulverizer ni za kichina) na nataka nianze biashara kwa kuanza kuisajili TRA ili kupata TIN number na baadae...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani hii tabia inakera unaendaje bar au club wakati huna kitu jamani ni bora ulale tu nyumbani ili usisumbue wenzio, kuna watu wanakera kweli lakini nimeshawaambia na wengine ujumbe ufike kama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani mwaka 2015 sijamsikia tena huyu jamaa. Sijui yuko wapi na anafanya mchakato gani, mwenye kujua zaidi naomba anijuze
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika; kwamba mtoto aliyelelewa kikatili hata akikua ni ngumu kuiacha hiyo tabia. Vivyo hivyo mtoto aliyekulia mazingira ya kuchunga wanyama ... ukubwani anakuwa na tabia fulani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Katika jitihada za kupunguza gharama za taa za barabarani usiku, jiji la Chengdu nchini China litakuwa na kivutio kikubwa cha utalii katika mpango wake wa kutengeneza mwezi wa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana Jf, Naomba niende kwenye mada, Kutokana na muingiliano wa watu kuwa mkubwa duniani tunakoelekea races zitapungua (tabaka halisi la watu wa rangi fulani). Kupungua kwa makali ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini! Suala la ahadi limevunja urafiki, undugu, na hata wengine kukimbia nyumba za ibada. Tatizo ni nini hasa? Tatizo sio kuahidi au kutoa nadhiri, tatizo ni kutoa ahadi kwa mhemko. Kabla...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Sara Daniel(22) mkazi wa Burego, Wilayani Ngara Mkoni Kagera amejikuta katika wakati mgumu baada ya kujifungua vitu mbalimbali yakiwemo makaratasi yenye jumbe nzito zilizojaa vitisho juu ya...
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Kwa wale ndugu zangu tunatokea urambo na mliowahi kuishi urambo mkoani Tabora Hebu tukutane hapa tuzungumzie urambo, maisha ya urambo, hali ya kiuchumi urambo na siasa za urambo na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Leo majira ya asubhi kama dakika kadhaa zilzopita jamaa mmj tapeli ameenda kwenye moja ya wakala wa tigo pesa maeneo ya kinzudi salasala goba..ambapo alienda na ella bandia kwa lengo la kutuma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana umeme umekatika kuanzia asubuhi ukarudi saa kumi kasoro. Leo hapa nipo zangu live naangalio hotuba ya raisi akiongea na wachezaji wa taifa stars, umeme umekatika na hatujui utarudi saa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wazazi tumekuwa na uaminifu uliopitiliza kwa wadada wetu wa ndani katika kuwatoa watoto wetu nyumbani alfajiri na mapema kuwapeleka kwenye vituo vya school bus. Sijasema hatuko salama, ila hili...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom