Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa sportpesa Abass Tarimba(kulia) pamoja na Mtangazaji wa Kipindi cha shinda zaidi na SportPesa Happiness Wandela(kushoto) wakionyesha Jezi ya Simba kama...
Aliyewahi kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018
Fuatilia uzi huu kwa...
Hili ni swali la kujiuliza mara nyingi uwezavyo.
Je, utakua tayari mwanao aoe mwanamke mwenye tabia kama zako?
Au ungependa mwanao aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
Jibu baki nalo...
Kuna ndugu yangu yuko geita anasema asubuhi ya leo saa tatu radi imeleta maafa kwenye shule ya EMACO English Medium School. hadi sasa watoto watano wamepoteza maisha.
Poleni kwa wazazi, ndugu na...
Habarini! Napenda kueleza kilichotokea huko mkoani Mtwara-Tandahimba,ni kuwa kijana mmoja baada ya kuambiwa na mama yake kuwa ana mimba na homa zinamsubua,huyo kijana akachukua uamuzi wa kuenda...
Habari wanaJF,
Hujafa hujaumbika, sisi binadamu ukiwa mzima unashukuru MUNGU.
Nina jirani yangu,mpangaji mwenzangu,tumekuwa pamoja kama mwaka hivi na urafiki wetu nikwasababu tunashare interest...
Habari,natafuta mtu atakaesafiri kuelekea Dar kutokea Arusha leo usiku au kesho asubuhi,mwenye pickup.
Tutachangia mafuta ya watu wawili pia ntakua na kipuppy (mbwa
mdogo)nataka nimsafirishe dar...
Habari zenu wakuu,
Nimeitwa kwenye interview mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), itakayofanyika kwenye ofisi zao. Naombeni kuuliza, ofisi zao zipo wapi? kwa hapa Dar es salaam kwa anaejua...
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumain Magesa amesema elimu duni ya wananchi kuhusu uendeshaji wa Serikali vijijini ni chanzo cha matatizo yanayowakabili
Akizungumza na wana-Kijiji cha Njoro...
Sababu ya mtandao, Dunia ni kama kijiji kimoja.Mtandao umekuwa kitu cha muhimu kwenye maisha ya watu wengi sana,mitandao inatufanya tuwasiliane kwa urahisi na ndugu jamaa na marafiki...
Wakili msomi, Edward Ole Lekaita ambaye pia ni mshauri wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Arusha, ameshauri elimu kwa vitendo itolewa zaidi shuleni ili wanafunzi waweze kuelewe kwa haraka...
Kumeibuka hali ya sintofahamu, huko Muriet jijini Arusha ambapo kwa nyakati tofauti kuku wa rangi nyeupe watano wamebakwa na Binadamu na kupelekea viumbe hao kupoteza uhai.
Diwani wa kata ya...
Nimesoma article ktk gazeti la uturuki yeni safak ikisifia KT Shop kisutu jinsi chai yake na vitafunwa vyake vilivokuwa bora, hakika mambo kama haya tourist board wayatumie ktk kuitangaza Tanzania...
Wakili msomi, Edward Ole Lekaita ambaye pia ni mshauri wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Arusha, ameshauri elimu kwa vitendo itolewa zaidi shuleni ili wanafunzi waweze kuelewe kwa haraka...
Nadhani something fishy is going on asee ..... hoja zisizo za msingi zinalazimishwa sana si politics hadi bongo movie...... Ila kama tajiri namba moja hapatikani nani atapatikana?? HATUKO SALAMA...
Salam.
Vijana wa bodaboda ni vyanzo vizuri sana vya taarifa zilizo sahihi.
Wanajua kila kitu kinachotokea kila siku iendayo kwa Mungu mtaani ,
Nani kafanya, kafanya nini ,
Kafanya na nani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.