Magufuli Mbona hatokei hadharani kukemea utekaji?

Joined
Mar 3, 2018
Posts
75
Reaction score
800
Mwenyekiti wa Bodi ya wafanyabiashara Tanzania ni RAIS na mwenye dhamana ya kubatilisha umilikaji wa Ardhi Tanzania ni Rais!

Tukiwa tumemsubiri IGP Sirro aje mbele ya Watanzania atueleze Mo yupo wapi mpaka muda huu ikiwa inakaribia wiki sasa tangu apotee Bwanyenye wetu,ni vizuri Watanzania wakajua haya;

Miezi michache iliyopita serikali kupitia Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Angeline Mabula alisema dhamira ya Serikali kutaka kuchukua Ardhi yenye ukubwa wa Hekta 9,418 sawa na hekari 20,779 inayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises inayosimamiwa na mpotevu wetu Mo.

Bibi Angelina aliyasema hayo akiwa Korogwe Tanga kwenye mashamba hayo na kuenda mbali zaidi na kusema kuwa MO amechukua mkopo mkubwa kutokana na Mashamba hayo lakini cha ajabu hakuna kilichofanyika.

Kabla ya ziara ya Mhe Mabula,Rais aliwahi kumtaja mfanyabiashara ambaye hakumsema kwa jina kuwa ametumia Ardhi ya Tanzania kuchukua mkopo wa fedha Uholanzi na kumiliki maeneo makubwa wakati wananchi wakiwa wanayahitaji.

Ikumbukwe pia MO hakuvamia maeneo ila alifuata utaratibu kuchukua maeneo hayo.

Ajabu ni kwamba toka serikali ionyeshe dhamira ya kuchukua Mashamba ya MO imekuwa kimya na kwakua Watanzania wengi tuna shida nyingi kujumlisha na Msongo wa maisha hakuna anayefuatilia mwingine.Tunashituka pale tu tunapoanza kusikia huyu katekwa,huyu katwangwa risasi ama huyu kauawa na katupwa mtoni ama baharini.

Kwakua serikali ilionyesha dhamira ya kuyabeba Mashamba ya MO,huo mpango hakuna anaejua uliyeyukia wapi ila taarifa nilizonazo ni kwamba utaratibu wa kawaida wa kumpora eneo bwana MO ulishindikana kwasababu ya vielelezo na baadae kilichobaki ikawa ni hasira zinawaka Moyoni kwa watawala.

Watanzania hua ni wepesi kusahau,Mtakumbuka kuwa mwaka Jana kabla Tundu Lissu hajapigwa risasi mmoja ya kiongozi mkubwa nchini alitoa kauli tata kuhusiana na watu wanaovujisha SIRI na kuwapa upinzani,na hii ilikuja baada ya LISSU kusema kuhusu Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa huko CANADA. Baada ya muda mfupi Lissu akamwagiwa shaba za kutosha tu bahati nzuri hakufa.

Lakini pia Watanzania wenzangu hiki cha juzi nafikiri hata kama maisha yamekaba sana hii ya juzi juzi ya Mkuu wa Nchi aliyosema kwamba yeye MTU MWENYE PESA ANAWEZA KUFANYWA CHOCHOTE angalau hamjaisahau!!!

Ni matumaini yangu kwamba sasa baada ya kauli ile kweli mwenye pesa,MO tumeona amefanywa "CHOCHOTE"
Sasa wiki inakata hivyo na mwenye pesa amefanywa chochote.

Inawezekana kabisa RAIS hakumlenga MO lakini kauli hii inakuja kabla ya mtu mwenye pesa kutekwa.

Lakini pia inawezekana Rais wetu akawa na kipaji cha kutabiri kama Martin Luther King alivyotabiri siku Moja Mtu mweusi kuja kuiongoza MAREKANI.

Tofauti ni moja tu, huyu mtabiri wetu yeye hutabiri mabaya,inawezekana kinywa chake kikitaja mazuri basi nayo yatatokea.

Turudi kwenye hekari za MO,
Baada ya Wizara kujiridhisha kwamba kuna kila sababu ya kuyagawa kwa wananchi Mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed,hata hivyo kwa mjibu wa sheria ya "UBATILISHAJI WA UMILIKI WA MASHAMBA,ni MHESHIMIWA RAIS MWENYE MAMLAKA YA KUMNYANG'ANYA MMILIKI WA ARDHI Au MASHAMBA MMILIKI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA KUTOKA KWA WAZIRI WA ARDHI"

Mpaka naandika taarifa hii usiku nikiwa nimelala zangu kwakweli sijajua hii kitu imeyeyukia wapi zaidi ya kusikia na kuona taarifa kwamba sasa MO hajapatikana na mwendelezo wa tuhuma zake uliyeyuka miezi miwili iliyopita. Hili nalo ni vema tukajua limeishaje maana naambiwa muda wowote Mashamba yale yataTaifishwa.

Kuhusu Bodi ya wafanyabiashara Tanzania ambayo Rais ndie mwenyekiti wake,kikao kilichopita hili la Mashamba Rais alilisema,sema sasa kwakua wabongo tuna mambo mengi hakuna anaefuatilia haya.

Juzi niliandika namna ambavyo familia za watu wapatao 28 elfu wanavyonufaika na uwepo wa Bwanyenye wetu MO ambae anasifika kwa kulipa mapema watumishi wake vizuri na kwa wakati mwafaka,kuanzia mfanyakazi wa juu hadi chini.

Nimeona leo twende na hili ili mlijue kama nalo lipo.

Rafiki yangu mmoja hua hanipendi anaponikuta ninamsikiliza Rais wetu.
Mimi nilishajipangia kwamba nikikosa hotuba yake moja kwa moja,nina msikiliza nikiwa nimetulia na ninajitahidi kutunza kumbukumbu ya kile nilichosikia.
Lakini pia ninaunganisha matukio sana,ndivyo nilivyoamua kuishi.

Huku Gwarama , hakuna umeme,kwahiyo wengi hatuna TV.
Kwa hiyo ukiibahatisha kwa jirani,ukiwa mfuatiliaji kama Mimi,unarekodi ili usikilize Mara mbili mbili kwa muda wako!

Nawashauri pia Watanzania wenzangu msikilize Mara mbili mbili ili msiwatafute wachawi wenu mbali.
Mara wazungu , Mara Haji Manara ,Mara ooooh!!!

Hata IGP SIRRO nitamsikiliza Mara mbili mbili mwisho wa siku Bwanyenye wetu MO apatikane akiwa hai huku tukiwa tuna uzoefu na machungu ya kupotea jamaa zetu kama Ben,Azori Gwanda na Diwani mwenzangu wa kunyumba SIMON KANGUYE.

Namshauri Rais wetu awe anasimama hadharani kukemea vitu hivi maana vinachafua taswira ya nchi anayoongoza,watu tuna hofu na ukimya wake kwenye jambo la hatari kama hili.

Elia F Michael.
Diwani Gwarama.
Mbunge nje ya Bunge.
Mwenyekiti wa Madiwani Kanda ya Magharibi.
17/Oktoba/2018.
Kakonko-Tanzania.
 
Wewe unawezaje kujipiga picha mwenyewe.?
 
Kwani utekwaji ni kosa la jinai Tanzania? Wewe mkuu unaishi wapi usilolijua hilo. Mpaka leo si umeshasikia watu wanalalamika ndugu zao wamepotea baada ya kuchuliwa mchana kweupe. Je ulishasikia mtu ameshakamatwa au kupelekwa mahamani kwa kosa hilo.
 
Tatizo rais amezungukwa na wahuni na wajinga kama washauri wake, mshauri wake mkuu akiwa ni bashite. Unategemea nini hapo?
 
Unajaribu kuiusisha serikali na upoteaji wa MO, alafu una mhusisha upoteaji wa MO na JPM alafu baadae unaomba JPM atoke hadharani azungumzie upoteaji wa MO. Uo ni unafik na Majungu ambayo mwishowake ni mmbaya sana.
 
Mwisho wa siku wote futi 6 udongoni....wale wanaojiona wanamamlaka juu ya maisha ya watu..au uhai wa watu....na walalahoi wote....huo ndo mwisho wa kiburi
 
Back
Top Bottom