Check hapo...Mwenye kufahamu namba za simu ya mkononi ofisi ya kampuni Dar lux, mwanza anisaidie tafadhali atabarikiwa na Bwana.
Pamoja mkuu...[emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana mkuu Di Ty
Hz gar n kwikwi wazee, asaiv wana route ya Dar to chuga ndan ya marcopollo , n mwendo wa kunyoosha goti
sisi usukumani tunaziita bombadia za chini, nikukadamiza tu.Hz gar n kwikwi wazee, asaiv wana route ya Dar to chuga ndan ya marcopollo , n mwendo wa kunyoosha goti
i sisi usukumani tunaziita bombadia za chini, nikukadamiza tu.
Hiyo route kuna moja inaendeshwa na mdada, ana mbwembwe huyo acha tu.
Wana vijidada vizuri na huduma poa sana,Ni Full kipupwe yani mpka abiria mnaomba AC izimwe hata masafa marefu (dar-mwza).
Wana vijidada vizuri na huduma poa sana,
Panda hii mifuso yetu sasa, unakutana na konda mweusi tiii halaf anauso mchafu kinyama, ukiwa soft soft waweza ulipe nauli ya kwenda na kurud kwa woga, ukimpa nauli baadae ukimuita akurudishie chenji ile anageuka ukimchek usoni unabadilisha mawazo unamuuliza "Samahan baba konda hv unanidai sh ngap?" Unafka uendako kwenye paji la uso unachora "A" Inaonekana kwa ilo vumbi.