Washa taa Mkuu.tecno sio simu sioni kitu hapo
Hapo chinu kuna maji.acheni ushamba.hata huku kwetu hipo
Kikubwa ni kuelewa.nilichokisema ovaHipo = [emoji735]
Ipo = [emoji819]️
Hana bundleasee wewe naona hata hujaona wewe ndio umepuliza bangi
Mbeya kuna maajabu hapa angalia ardhi inayonesa