The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa
Tumesikia kusoma na kuona hasa kwa watoto wa kiume wengi walio karibu sana na baba zao wanakula shavu.
Mifano hai ni kwenye Bibilia takatifu Yusufu mwana wa Yakobo. Mfalme Daudi. Hata kwenye kisa cha mwanampotevu.
Pia nchini tulimwona Ridhiwan Kikwete na pia Makonda japo siyo mwana wa damu.
MBS saudi crown Prince Mohamed Bin Salman inasemekana kila mara alikuwa na baba yake mfalme mzee Salman hata kabla hajakuwa Mfalme. Hakutaka kwenda hata kusoma nje nchi kama ndugu zake.
Hata wakati baba yake alikuwa gavana wa jimbo flan Saudi arabia alikuwa chini yake wakifanya kazi pamoja. Licha ya mfalme Salman kuwa na watoto wengi lakini kipenzi chake alikuwa MBS.
Mohamed Bin Salman ni mtoto wa mke wa tatu wa Bin Salman.
MBS Ana haiba ya aina yake. Ana mamlaka ya kuzaliwa na karama ya uongozi ya amri licha ya umri mdogo alio nao. Kwa muda mfupi sana kaconsolidate imarisha power kwa kuweka fear na mapandikizi wengi katika "TISS" Yao ya Saudi arabia jeshi na vyombo vya usalama wengi wao wakiwa waarabu wa Yemeni (sunni) jordan na hata pakistN na Bangladesh.
Kinawachowashangaza watu ni jinsi alivyomficha mama yake mzazi baada ya maza kulalamika na kuja juu dogo ni mkatili sana kwa kumnyang'anya nafasi ya urithi ya ufalme binam yake.
Ila MBS kaleta nidhamu ya kazi Saudi arabia sasa hivi. Hata kazi za kufagia wasaudi wanatakiwa wafanye badala ya kuzuga vibarazani. Wageni wengi wanaondoka Saudi kwasababu kazi nyingi sasa hivi wazawa wanafanya ni kati ya vishen 2030.
Hii ishu ya Khashoggi imempunguzia sana dogo kasi.
MBS aliulizwa na mwandishi nini kitamzuia katika azma ya Vision 2030. Akajibu ONLY DEATH!
Baba ni baba tu!
Nimedokoa kutoka mitandaoni