Vijana jifunze kuuliza maswali

Vijana jifunze kuuliza maswali

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Kila nikisikia vijana wanafanya mahojiano na mtu yeyote mwenye mamlaka; huwa nakumbuka kauli hii ... isome
" Elimu inayotolewa nchini ni elimu inayojenga uwoga na utiifu usiohoji hata masuala ya msingi; inayojenga upole unaorahisisha kutawaliwa kwa maslahi ya wengine. Elimu ya kikoloni pia imetugeuza na kutufanya tudharau mambo yetu na kujidharau au kukosa kujiamini. Elimu hii imetugeuza kuwa watumwa kiasi kwamba sasa, miaka zaidi ya 50; tunaiendesha wenyewe kama ilivyokusudiwa na mkoloni"

Kwenye kuuuliza maswali ndo kuna uwezekano wa kuibua hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom