Kampuni ya Kampuni ya MeTL Group yakunusha kufunga uzalishaji. Kupitia Akaunti yao ya Twitter, wameandika "Tunaendelea kusikitishwa na tukio lililomtokea Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni yetu...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco Mkoani Arusha, jana limeng’oa nguzo zaidi ya 40 na nyaya zake, zilizowekwa na vishoka, katika kijiji cha Manyire Kata ya Malangarine Wilayani Arumeru...
Kwanza nianze kwa ku declare interest kwamba sipendi sana kuvibeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kazi zake, lakin kuna muda inabidi uvibeze kwa uzembe wao ama kwa kutotoa mwangaza wa...
Individually is it about being a supporter of a party ideology or country beliefs? Or just a trait of ignorance as a result of a poorly educated society(and here i don't mean number of students...
Huyu mdudu anayeitwa bima ya taifa NIC ni tapeli anamsumbua mama yangu
alishamaliza kuchangia bado wanamkata
Bima yake imeiva hawataki kumpa hela yake wanamzungusha huu mwezi wa sita...
Mi nimekuwa nikijiuliza sana kuwa iweje radi iko mawinguni lakini sijawahi kusikia imepiga watu waliomo ndani ya ndege au kusambaratisha ndege badala yake inawinda chini ya ardhi tu? Au kwanini...
BARAZANI KWA RAJAB
Khashoggi: “Sema unayotaka kusema ujiendee zako”
Na Ahmed Rajab
NILIKUTANA na Jamal Khashoggi siku moja tu katika maisha yangu. Ilikuwa mwezi wa Ramadhan nilipoalikwa futari...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amewateua Wasanii Hamis M. Mwinjuma maarufu 'Mwana FA' na Single Mtambalike maarufu 'Richie' kuwa miongoni mwa Wajumbe
Wengine walioteuliwa ni...
Wandungu, nimeingia mji kasoro bahari leo, kinachoshangaza hakuna usafiri wa daladala kama ilivyozoeleka, usafiri pekee ni bodaboda, kilikuu na bajaji, nimeuliza watu kadhaa wanasema wenye...
Yaani Wenzako wanatutaka Wananchi tutoe ' Ushirikiano ' wetu mkubwa kupitia Mitandao ya Kijamii ili tuweze Kumpata Mwenzetu ( Bilionea ) halafu anatokea Mtu mmoja na Mtumbo Tumbo wake anatutisha...
Wana jukwaa pendwa naomba niulize swali kama habari za Plato na Aristotle ni za kweli na ziko documented kwann tutilie shaka kuwepo kwa yesu kristo wakati plato aliishi miaka elfu kabla ya yesu...
Nimeshangaa sana baada kutumia hii app na kugundua kwamba eti bima niliyoikatia pikipiki yangu haisomi! Majibu yalikuwa ni haya, Hiki chombo cha moto hakina bima, KATA BIMA MPYA. TII SHERIA BILA...
Kwa siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la kuenea kwa habari za kupika (fake news) na pindi habari hizo zikitoka hupata ufuasi mkubwa kuliko zile zenye ukweli au zilizothitishwa.
Kimbunga...
Imeandikwa na Malisa GJ
Ilikua dakika, masaa, siku na hatimaye wiki imekatika. Habari ya kutekwa kwa MO ilipobreak kwa mara ya kwanza alhamisi kama leo wiki moja iliyopita ilileta taharuki nchi...
Wadau wangu naombeni msaada wa haya mawe ambayo kimuonekano ni meupe sana na yanameremeta kiasi kwa jina yanaitwa terrazo.
Natafuta soko bei yake ikoje sokoni
Habari wapendwa,
Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya...
Nimetafakari kwa kina sana , nikafikiria jinsi Familia ya MO inayoyapitia , nimefikia hitimisho kwamba hata kama nitafanikiwa kuwezesha MO kupatikana sitapokea hela iliyotajwa na familia yake...
Mbona tukio hili la kutoweka kwa Dewji bado hamjatuletea ,,asemavyo Tundu Lisu" ? Hakuna tukio ambalo hukaa kimya sijui kwa nini hili amelipotezea, ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.