Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
Hbr ya weekend wakuu.
Niende kwenye mada.
Online Tv kinachoandikwa yaani HEADING ya VIDEO na ukifungua hiyo video utakachokikuta ni vitu viwili tofauti kabisa, mpaka unajuta kutumia MB zako.
sasa najiuliza hivi mamlaka ya mawasiliano haioni suala hili?? mbona wanakuwa wakali sana kwa Radio au Tv pale zinapokosea maadili ya Utangazaji??
Hizi online Tv zinapewa kibali na wao sasa wanashindwaje kuzidhibiti??
WANANIKERA SANA HEADING NA VIDEO TOFAUTI KABISA. halafu wakimaliza kuongea pumba zao wanakwambia dondosha maoni yako..mfano. leo tu asubuhi nimeona wameandika MO DEWJI apatikana na LUGOLA ameprove na wanaweka na picha baada ya kufungua video hiyo nilichokutana nacho upuuzi kabisa..
wanaboa sana na TCRA mnawalea tu.