Utamfanya nini ndugu yako au mlezi wako anayehujumu mipango yako ya maendeleo?

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Mar 25, 2012
462
343
WanajF Salaam
Si mara moja au mara mbili pengine tumewahi kukumbana na kadhia hii katika harakati zetu za kusaka maisha.
Wakati fulani,tumekuwa katika wakati mgumu wa kufanya maamuzi hasa pale tunapobaini kuwa ndugu au walezi wetu wanahujumu mipango yetu ya maendeleo.
Watu hawa huwa wanaonesha waziwazi au hata kwa kificho hizo hujuma zao wakidhani wewe hujui lolote juu ya mipango yao ovu.
Kwa wale mliowahi kupitia nyakati hizi,je mlifanya nini?
Ikumbukwe kuwa 'tunaanza kwa kulia ndipo tunaongea'.pia tunaanza kwa 'kutambaa' ndipo tunatembea.
Swali: utamfanya nini ndugu au mlezi anayehujumu mipango yako ya maendeleo?
 
Unafunga mdomo huwaambii yako..
Na unafanya yako bila kuwahusisha..
Kuna maisha bila watu wengine..

Usifikiri mtu kuwa amekusaidia ndio inabidi ajue kila lako hapana.. anza kukaa nao mbali fanya yako na sali sana.
 
Msalimie mkuu DAB
 
Jambo jema.
 
Back
Top Bottom