OMBI LA KUELEWESHWA NA WANASHERIA

OMBI LA KUELEWESHWA NA WANASHERIA

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Kama inavyofahamika kuwa kuomba nakala ya hukumu ni haki ya mtu anayeiomba. Kuna Ndugu yangu aliomba nakala ya hukumu yake lakini alikuja kuipata baada ya muda mrefu kupita. Pili alipoipata hiyo nakala alipowaambia kumgongea tarehe ya kupewa nakala hiyo wakagoma kumgongea. Swali langu sasa linakuja, Hivi ni taratibu za Mahakama kukataa kumgongea mhusika tarehe ya kupokea nakala ya hukumu yake?.
 
Back
Top Bottom