Nahitaji kujua jinsi ya kununua share kwenye haya makampuni ya BETTING

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kununua hisa kwenye haya makampuni ya michezo ya kubahatisha apa nchini tafadhali karibu sana unipe maelekezo ya nini cha kufanya na vigezo pamoja na masharti

Maana uku kwenye kununua hisa inasemekana kidogo mambo si haba hasa kwenye haya makampuni ya michezo ya kubahatisha.
 
Wakuu nipeni A na B za jinsi ya kununua hisa kwenye hizi kampuni za betting
 
hv wanauzaga hisa zao hao jamaa?? km wanauza zitakuwa za faida sana mana jamaa hawapatagi loss asee
 
Jitahidi ufike gaming board of Tanzania utapata taratibu zote na ushauri wangu ni ufungue kampuni yako kiongozi Kama 200mil zinaitajika mkuu.
Faida ni January mpaka desemba
 
Jitahidi ufike gaming board of Tanzania utapata taratibu zote na ushauri wangu ni ufungue kampuni yako kiongozi Kama 200mil zinaitajika mkuu.
Faida ni January mpaka desemba
Mkuu mi nataka kununua hisa sina hayo maela yote ya kufungua kampuni mimi ni mwananchi wa kawaida nia yangu ni kununua hisa kwenye hizi makampuni tu
 
hv wanauzaga hisa zao hao jamaa?? km wanauza zitakuwa za faida sana mana jamaa hawapatagi loss asee
Nimeambiwa waga wanauza lakini ndo bado na mimi nataka kujua utaratibu wanaotumia kuuza hisa zao pamoja na vigezo na masharti yao?
 
kigezo moja wapo ni uwe umeshawahi kubet na kuliwa c chini ya Tsh. 1m
 
ao jamaa ni PRIVATE company sio PUBLIC,share zao wanauziana wanaojuana tuu (member only)
 
Back
Top Bottom