Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ivi aliyetoa ili agizo ama aliye pendekeza ili pendekezo la kuihamisha hii stendi ya kawe kutoka ukwamani kwenda pale msikitini ni nani Mbona ni kama ule uamuzi uliofanywa wa kuihamisha ile...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi ya kweli kwa Taifa letu, naandika maneno haya huku moyo wangu ukuwa mzito sana kutokana na mauaji ya kila siku yanayoendeshwa na chombo tulichokikabidhi ridhaa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Kwanza niwatakia ibada njema itayogusa Maisha yenu. Leo tupate neno la Mungu kutoka kwa Padre Mark Goring juu ya ulimwengu wa kiroho. Kama ulikuwa unataka kuhahirisha kwenda kanisani hebu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar,tukio la kutekwa kwa MO huenda likawa limefanywa kwa ustadi mkubwa sana ili kuteka akili za wananchi lakini watekaji wakiwa kwenye maandalizi ya tukio moja kubwa na la kutisha game iwe ova...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeisikiliza hii kauli ya IGP imeniachia maswali mengi bila majibu. Kama imefikia pahala mpaka tunafikiria ulinzi wa raia na mali zao kwa njia ya kuviziana basi tuna safari kubwa sana ya kuifikia...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Mahandaki au "bunker" ni sehemu maalum iliyochimbwa chini ya ardhi ambayo mtu au watu wanaweza kujisitiri wakati wa dharura au vita katika nchi. Yapo mahandaki maalum yanayojengwa kiustadi na...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Aisee wanaJF Mzuka, Moja kwa moja kwenye mada. Hii kauli ama Maneno huumba ni ya hovyo sana katika lugha yetu nadhif. Nimiaka sasa nang'aka na kubwabwaja kila mara sometimes tena kwa jazba nataka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo IGP Sirro wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kupatikana kwa Mo Dewji amewatuhumu watu ambao anasema wako bize kuwaingilia polisi na vyombo vingine vya usalama ktk shunguli zao...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Hua sielewi hili shirika mapato yake yanatokana na nini maana kila sehemu karibu yote ya dunia hua wana waandishi wake wa habari na watangazaji je kipato chao hadi kujiendeleza na kuwalipa hadi...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwanza tujipongeze kwa kusimama pamoja kumtaka mwenzetu na hatimae wenye mamlaka wamemuachia MO wetu. Kumbe kelele zikipigwa nyingi zikakuelekea unajirekebisha! Prof PLO Lumumba anasema kwamba...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnaweza mkaandaa programs zenye course mbali mbali hapa hapa jf. Mtu akajisajiri na kuchagua course maalum alafu mwisho wa siku anafanya maswali ambayo akifaulu, anapata chet. Akiamu kwenda...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA. Wiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika! Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess). Tumezoea...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ivi aliyetoa ili agizo ama aliye pendekeza ili pendekezo la kuihamisha hii stendi ya kawe kutoka ukwamani kwenda pale msikitini ni nani Mbona ni kama ule uamuzi uliofanywa wa kuihamisha ile...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Habari wakuu. Chunguza mtaani kwako na watu wanaokuzunguka. Wanaounga unga maisha mtaani ( wasio na mshahara wala ajira rasmi) wanajipenda sana ; kulala, kula na kuvaa . Wewe na mimi tunawazia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kw aumri ulionao sasa ni kipi umejifunza hapa duniani? Mimi nimejifunza machache. 1/Dunia tunapita yani tuna muda mfupi sana hapa duniani! Many have gone real but tunalala tunaamka kesho inakua...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini... Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii...
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Hii kitu imeshawahi kukutokea maishani kwamba yule mtu unaehisi ndie mtu mwema kumbe sio mwema in other words ni shetani/devil? If it real happened to you tupe experience. Mimi kuna tukio fuliani...
1 Reactions
4 Replies
949 Views
Leo tarehe 20.10.2018 Naibu Waziri wa Nchi TAMISEMI Mh. Joseph Kakunda, amefungua majengo ya maabara ya Computer na Maktaba katika shule ya Sekondari Emboreet Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunapokaribia kumaliza mwaka 2016 kuna threads nyingi zilitoka ambazo zilitoa Habari, Zilielimisha, Ziliburudisha na Kuchekesha. Kwa upande wako ni thread ipi ilikuvutia kwa mwaka 2016 na sababu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom