NSSF WANATUNYANYASA KWENYE FAO LA MATIBABU.

David Kiyoya

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
39
Reaction score
11
Inakuwaje mmeweweka ukomo wa sh.elfu arobaini kwa siku ilihali gharama za matibabu zipo juu,naomba mfikilie mara mbili kama kweli lengo la mfuko huu ni kutusaidia watu wa hali ya chini,sasa kwa mfano unaambiwa vipimo tu vinagharimu elfu thelathin ikifika kwenye dirisha la dawa unaambiwa ongezea hela hela yako binafsi kweli hii ni haki kweli?
 
Huo siyo utu. Halafu nasikia wanakupangia hospitali za kutibiwa. Pesa ya wanachama wameiwekeza kwenye miradi mbalimbali mikubwa na kutengeneza pesa lukuki lakini mwenye pesa (mwanachama) hathaminiwi. Jehanamu kweli inangoja wengi!
Je, hiyo pesa ya fao la matibabu mwanachama atakatwa siku ile ya mwisho ya kuchukua mafao yake?
 
Bei ya kujiunga ipoje?
Kwa Sasa hivi wanasumbua kwa mtu mmoja ...ila kama utaweza kutafuta kikundi chochote Mfano saccoss hivi, utapata kwa gharama cheee kabisa ila kwa peke yako wanaweza kukupiga pesa nyingi kidogo.
 
Wanakupangii bali wanakuambia chagua hospital unayotaka kutibiwa na wanakupa horodha ya hospital wanazohudumia.
Binafsi naona wanatoa kama hofa Fulani maana wao wanatoa matibabu kwa wanachama wake waliochangia kwa angalau miezi 3 na hakuna malipo yoyote ya mwanachama kwa ajili ya matibabu! Ukitaka bima ya afya nenda NHIF hiyo ndio kazi yao hapo NSSF tunawaonea tu!!!
NSSF wanachojua ni michango yako Kama mwanachama wa mfuko wa jamii,Hakuna fao la kujitoa mpaka umri wa kustahafu hayo ndio wanayaweza
 
Inakuwaje mmeweweka ukomo wa sh.elfu arobaini kwa siku ilihali gharama za matibabu zipo juu,naomba mfikilie mara mbili kama kweli lengo la mfuko huu ni kutusaidia watu wa hali ya chini,sasa kwa mfano unaambiwa vipimo tu vinagharimu elfu thelathin ikifika kwenye dirisha la dawa unaambiwa ongezea hela hela yako binafsi kweli hii ni haki kweli?
.SSF nchi nzima ni pasua kuchwa sana wanahujumu sana wateja wao
 
Kwa Sasa hivi wanasumbua kwa mtu mmoja ...ila kama utaweza kutafuta kikundi chochote Mfano saccoss hivi, utapata kwa gharama cheee kabisa ila kwa peke yako wanaweza kukupiga pesa nyingi kidogo.
tuache blah blah NHIF hawafai kabisa
mchango ni 1,500,000/ hakuna cha hadithi
hivyo vikundi vina masharti ni lazima viwe vya uzalishaji mali (useremala, Mama lishe, gereji nk) lkn vya kusaidiana wakati wa sherheSaccos za kukopeshana au kuzikana hazitakiwi
NHIF si ya wanyonge Wazee na wasiojiweza tena
 
Kama ww utakuwa ulichagua dispensary sio hospital mm natumia hyo bima na nipo hospital moja kubwa ya serikali hapa dar matibabu napata kwa gharama yeyote na dawa pia zips,sema kuna vipimo ukiandikiwa inabidi upate ruksa maalum na vipimo hivyo ni vile vikubwa kabisa
 
Wanakupangii bali wanakuambia chagua hospital unayotaka kutibiwa na wanakupa horodha ya hospital wanazohudumia.
Binafsi naona wanatoa kama hofa Fulani maana wao wanatoa matibabu kwa wanachama wake waliochangia kwa angalau miezi 3 na hakuna malipo yoyote ya mwanachama kwa ajili ya matibabu! Ukitaka bima ya afya nenda NHIF hiyo ndio kazi yao hapo NSSF tunawaonea tu!!!
NSSF wanachojua ni michango yako Kama mwanachama wa mfuko wa jamii,Hakuna fao la kujitoa mpaka umri wa kustahafu hayo ndio wanayaweza
Kama unapewa orodha ya hospitali ili uchague si ndiyo kuwekewa mipaka? Je, kwenye hiyo orodha yao ya hospitali zimo Muhimbili, Regency, Kairuki, Bugando na KCMC?
 
Kama ww utakuwa ulichagua dispensary sio hospital mm natumia hyo bima na nipo hospital moja kubwa ya serikali hapa dar matibabu napata kwa gharama yeyote na dawa pia zips,sema kuna vipimo ukiandikiwa inabidi upate ruksa maalum na vipimo hivyo ni vile vikubwa kabisa

sema tu vipimo kama “ngoma” [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom