Darbrew (Chibuku) Yasitisha Uzalishaji

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Kampuni ya kusindika pombe ya Kiasili Darbrew maarufu kama Chibuku iliyopo Ubungo imesitisha uzalishaji wa pombe hiyo tangu mwezi huu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu na soko kudorora.

Darbrew ni kampuni inayomilikiwa na TBL 60% na halmashauri ya jiji 40%.

Tayari asilimia 80% ya wafanyakazi hao wameshapewa barua ya kuachishwa kazi na kupewa malipo yao.

Ikumbukwe kuwa Kampuni hii ni moja ya kampuni 10 zilizokuwa zinaongoza kwa ulipaji wa kodi mzuri nchini.

Rejea:
Dar Brew (Chibuku) yapunguza wafanyakazi 60 - JamiiForums

Zubaa uliwe: Chibuku inalipa kodi kubwa zaidi ya dhahabu na makampuni ya simu - tz yetu noma - JamiiForums
 
Screenshot_2018-09-16-12-43-01-441_com.android.chrome.jpg
 
Aisee kumbe waliboresha vifungashio kiasi hiki? Na bado soko limekuwa gumu?
Nadhani moja ya tatizo ni hili a kubadili vifungangashio ambalo limeongeza gharama ,wanywaji wenyewe Wa chibuku sio watu wenye makuu ,sijui kwanini waliondoa ule mtindo wa zamani Wa kupokezana kometi au walilalamika kutaka chupa?
 
Back
Top Bottom