Pamoja na rasilimali tulizonazo Afrika

Pamoja na rasilimali tulizonazo Afrika

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,452
Miongoni mwa watu bilioni 1.3 wanaoishi katika aina mbalimbali za umaskini kote duniani, milioni 560 wapo barani Africa.
Soma ripoti mpya ya @undp na @ophi_oxford: The 2018 Global Multidimensional Poverty Index (MPI) | Human Development Reports Umoja wa Mataifa on Twitter

#AMBON (AFRICA MUST BE ONE NATION)
IMG_20181022_090235.jpeg
 
Kama tunashindwa kujali muda hayo mengine tuendelee kusubiri.

Mnakubaliana kikao cha shughuli fulani tufanye saa 8 mchana ila mtu wa kwanza anakuwa tayari saa 8 unusu mwenyekiti/kiongozi anafika saa 9 kasorobo.
 
Back
Top Bottom