Serikali naona sasa inaanza kutengeneza monopoly system kwenye baadhi ya mambo. Ukitizama suala la visumbusi kwa jicho la tatu unapata mfano hai ambao ni ngumu hata kukanusha juu ya hili.
1)...
Juzi niliona video footage moja kwenye mtandao wa voice of America mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirroanalalamika kwamba jeshi la polisi linaingiliwa na watu mpaka wanalielekeza namna ya...
Inawezekanaje mtu akuteke akae na wewe siku kadhaa. halafu anakupeleka mahali anakuachia na silaha ambazo zana zake za kazi Kisha aende zake hivi hivi tuu ???
Anakuachia usafiri, anakuachia...
Baada ya MO kupatikana maeneo ya Gymkana, hatimae pia gari inayosemekana kumteka nayo imepatikana ikiwa imetelekezwa maeneo hayo!
Ina namba tofauti na zile zilizoonyeshwa na kamanda!
Mnaojiita maboss/wakuu/kiongozi/ muache tabia ya kuwatenga madereva wenu hasa kwenye maswala yanayohusu kula mkiwa field/ kikazi sites.
Wakuu wengi wamekuwa na hii tabia ya kuwaacha madereva wao...
habari za weeked:
Pasipo kupoteza mda, Nasikitishwa na utaratibu wa kihuni unaofanywa na baadhi ya madiwani kwa kushilikiana na manispaa kuchonga barabara za mitaa nchi kwetu,
SABABU ZA KUWAKAMATA...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema ucheleweshwaji wa kutoa leseni za udereva nchini utaisha ndani ya miezi miwili ijayo kuanzia sasa baada ya mtambo wa kuchapa leseni hizo kuanza kufanya...
Matendo yamethibitika katika historia ya mwanadamu kuongea zaidi na kwa nguvu kuliko maneno.Hata hivyo, baadhi ya vitendo vya mwanadamu hubashiriwa hata kwa maneno. Ni kwamba wakati mwingine...
Usiku wa kuamkia leo majira ya saa sita kuelekea saa saba, nikiwa kwenye bus kutokea ubungo nikielekea Temeke, zilitupita Alteza kama kumi na Subaru kama nne kwa mwendo wa kasi ya ajabu na...
Habari wanajukwaa,
Mimi ni kijana mwenye elimu ya kawaida tu na ni raia mchakalikaji hapa nchini
kuna maswali nakuwa najiuliza nashindwa pata majibu hivi inakuwaje.?
1. Nini kazi ya wizara ya...
Kwa wale vijana wenzangu ambao mpo kwenye ajira haswa sekta binafsi .
kanuni mpya za nssf ni pasua kichwa, embu tujiulize
ni vijana wangapi watafkixha miaka 55 Ili waweze kuchukua mafao yao ...
Kiwanda kimekamatwa huko KAHAMA kikichakachua sukari Na ngano Na kuprint nembo mbalimbali za viwanda vya sukari.
Pia kuna shehena ya sukari Na ngano kwenye magodauni yao.
Mliopo huko KAHAMA...
Sitosahau niliwahi kuzimiwa na simu na mwenyej wangu mara ya kwanza naenda Mbeya.Ilibidi nikae kwenye kibaraza cha nyumba flan hv hadi asubuh.
Twambie kwako ilikuaje....??
Tunaofatilia siasa za nchi tunaelewa jinsi mitandao hii ya magwiji wa unga ilivo na nguvu na ilivyojikita Serikalini na kwenye taasisi kama vyama vya siasa na nyumba za ibada.
Tusemeni ukweli...
Unanunua kifurushi Cha 18000 unapewa Chanel za kipuuzi tu.. Hats Ukisema basi niangalie move utakutana na move zilezile tatu, man in black, Jurassic Park na ile raid anauliwa...
Dah mnatutesa na...
Msimu huu bei ya korosho imeendelea kupaa hadi kufikia sh. 4010 katika mnada wa jana huko Tunduru. Tukipata fedha hizi tujitahidi kujiwekea akiba kidogo.
Nawasilisha.
Hivi mnaaangalia vigezo gani kufuta uzi, hamtaki tuwakosoe?
Me nilidhani mnajielewa et...!!!??
Kichwakichafuuu.... wamefuta uzi wangu bhanaa...
Hamna kitu hawa jamaa...
Sasa ngoja nitaje zile ID...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.