Mumiani nani alikuwa anahusika

Mumiani nani alikuwa anahusika

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Miaka ya zamani ilikuwa watu wanakufa saana kutokana na hii issue ya mumiani yani ukamataji na unyonyaji damu hadi kufa
Miaka ya hivi karibuni kampeni za kuchangia damu kwa hiari zilipoanza hili janga limekwisha

Najiuliza hii issue ya mumiani nani alikuwa anasimamia hii show na damu ilikuwa inapelekwa wapi na hao mumiani
 
Kuna jamaa ndio ilikua Kazi yake yaani anaua watu anapakia damu kwenye madumu anawauzia warundii..
Somewhere called
Bubango-Kigoma
 
Kuna jamaa ndio ilikua Kazi yake yaani anaua watu anapakia damu kwenye madumu anawauzia warundii..
Somewhere called
Bubango-Kigoma
Na kuna jamaa mwingine alikuaga na sheri za mafuta, kasulu na kitagata
 
Hivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Nikitaka niulize mfano wa swali hili, ahsante wacha niungane nawe kusubiri majibu.
 
Back
Top Bottom