Wakati ' Binti ' wa Kikenya mwenye miaka 10 akifanya ' maajabu ' Mijitu mizima Tanzania inahaha Kutudanganya!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Natalie Wambui Binti mwenye Umri wa miaka 10 tu hivi sasa ameonyesha kuwa kumbe huhitaji kuwa ' Jitu Zima ' na kuanza kufanya ' maajabu ' ambapo hadi hivi sasa ameshaweza Kuandika Vitabu Vitatu ambavyo vinaelezea mambo mbalimbali kiasi kwamba ameweza ' Kuwashangaza ' Watu wengi huko nchini Kenya na hata duniani.

Utofauti wa Kipekee kabisa ninaouona hapa ni kwamba wakati Binti huyu wa Kikenya ( Mkenya ) Natalie Wambui mwenye Umri huo wa miaka 10 tu akituonyesha ' how she's gifted intellectually ' huku Kwetu Tanzania kuna ' Mijitu ' mizima kabisa ambayo inakimbizana Umri na Mugabe huku wengine wakikaribia Kustaafu ' kwa siku mbili mfululizo kama hata siyo tisa ' wanahaha ' huku na kule ' Kutudanganya ' Watanzania kwa CCTV, Magari Toyota Surf, Plate Number na Mabunduki.

Nitoe tu RAI kwa nyie Watu wazima wa Tanzania hebu jitahidini tu basi kutuonyesha angalau 50% ya IQ aliyonayo huyu Binti Natalie Wambui kwani kusema kweli kila nikimtizama akitiririka na akiserereka na ' madini ' yake yenye ' Kunakshiwa ' na Kiingereza chake cha ' Kutukuka ' kabisa halafu nikirudi nyuma na kuangalia ' Press Conferences ' zenu kiukweli napatwa na ' Kichefuchefu 'tupu huku nikiona wazi kabisa kwamba amewazidi ' upeo ' kwa mbali sana.

Ukitaka kumuangalia huyu Binti Natalie Wambui tembelea ' Website ' ya Affecto Influence Care au ingia tu YouTube kisha utajionea ' mubashara ' kabisa ' maajabu ' yake na kukubali kwamba amewazidi akili nyingi sana wale ' Waigizaji ' wetu maarufu wawili Sterling ' Si Hilo ' na Co Sterling wake ' Mambo ya Sasa '.

Nawasilisha.
 
Natalie Wambui Binti mwenye Umri wa miaka 10 tu hivi sasa ameonyesha kuwa kumbe huhitaji kuwa ' Jitu Zima ' na kuanza kufanya ' maajabu ' ambapo hadi hivi sasa ameshaweza Kuandika Vitabu Vitatu ambavyo vinaelezea mambo mbalimbali kiasi kwamba ameweza ' Kuwashangaza ' Watu wengi huko nchini Kenya na hata duniani.

Utofauti wa Kipekee kabisa ninaouona hapa ni kwamba wakati Binti huyu wa Kikenya ( Mkenya ) Natalie Wambui mwenye Umri huo wa miaka 10 tu akituonyesha ' how she's gifted intellectually ' huku Kwetu Tanzania kuna ' Mijitu ' mizima kabisa ambayo inakimbizana Umri na Mugabe huku wengine wakikaribia Kustaafu ' kwa siku mbili mfululizo kama hata siyo tisa ' wanahaha ' huku na kule ' Kutudanganya ' Watanzania kwa CCTV, Magari Toyota Surf, Plate Number na Mabunduki.
Asikutishe mkuu. Hata kwetu pia wapo hao. Tulikuaga na mtoto wa miaka 9 aliendesha pantoni au umesahau
 
Ngoja nitafute mwamvuli wa kukingia povu la uyu mwenye jina la dozi ya kisonono
 
Watoto kama hao washatokea sana Ulaya ....wapo waliopata PhD za sayansi kabla hawajafikisha age ya 15.... In fact hao huzaliwa na uwezo tu mkubwa ( inborn trait) na sio acquired trait.....

Hata hapo Kenya wapo watu wazima wenye uwezo kama huu wa watz so ni hali ya kawaida tu.
 
Wewe una ipi kati ya hiyo inborn trait na acquired trait? Tuanzie hapo Kwanza tafadhali.
 
Watu wengine hata sijui kama mnatoka ndani.. lazima hata jua unaliogopa.. unajua hiyo kujua kupiga akili kuwa kuna nje utayeyusha kabisa as huna lolote jingine na kuwa 💀👻💀

Upupwu mtupu sentensi za mwanzo tu unajua unatamani hata kujua kuandika ila ndio umejaa ya C&P

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa
 
Mm Nina zote .....kuna mambo nimefanya na wenzangu hawakuweza,lkn pia kupitia shule ya kimagharibi niliyokula nmejikuta najua mambo mengi zaidi...
Hata hili suala lako la huyu mtoto nililijua mapema sana.....Tz kuna watoto wa HV wamewah kutokea,mfano yule dogo wa bukoba aliyekuwa amelikalili baraza LA mawaziri lote wakat wew hapo huenda unawajuzia mawaziri wasiozidi watano kwa majina na wizara zao....so its some kind of supernatural power tu.
 
Watu wengine hata sijui kama mnatoka ndani.. lazima hata jua unaliogopa.. unajua hiyo kujua kupiga akili kuwa kuna nje utayeyusha kabisa as huna lolote jingine na kuwa 💀👻💀

Upupwu mtupu sentensi za mwanzo tu unajua unatamani hata kujua kuandika ila ndio umejaa ya C&P

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa

Nafurahi kila mara Kukuona Mkuu wa Kudumu na Milele wa Chuo Kikuu cha Upumbavu ukijitokeza Kudhihirisha Upumbavu wako mbele ya ' Threads ' zangu. Najua unajipendekeza hivi Kwangu kwakuwa unanipenda na unataka nikufuate PM ili ulale tu na Mimi ujisifie, ila bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwako katika maisha yangu huwa sina rekodi ya kuwa na Mahusiano na Mwanamke Mpumbavu wa mfano wako na mwenye Sura mbovu kama Kalio / Tako la Nyani.
 
Ila wee jamaa kwa majibu shombo huna mpinzani😂😂😂😂😂
 
Nafurahi kila mara Kukuona Mkuu wa Kudumu na Milele wa Chuo Kikuu cha Upumbavu ukijitokeza Kudhihirisha Upumbavu wako mbele ya ' Threads ' zangu. Najua unajipendekeza hivi Kwangu kwakuwa unanipenda na unataka nikufuate PM ili ulale tu na Mimi ujisifie, ila bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwako katika maisha yangu huwa sina rekodi ya kuwa na Mahusiano na Mwanamke Mpumbavu wa mfano wako na mwenye Sura mbovu kama Kalio / Tako la Nyani.
wew ni nnnyo.ko
hilo limama ni la hovyo, ninaliambiaga hata linihonge mabilion hata kugeuza kichwa kuutazama utupu wake siwezi.
yaani limejaa minyoo kichwani balaaa
 
Nafurahi kila mara Kukuona Mkuu wa Kudumu na Milele wa Chuo Kikuu cha Upumbavu ukijitokeza Kudhihirisha Upumbavu wako mbele ya ' Threads ' zangu. Najua unajipendekeza hivi Kwangu kwakuwa unanipenda na unataka nikufuate PM ili ulale tu na Mimi ujisifie, ila bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwako katika maisha yangu huwa sina rekodi ya kuwa na Mahusiano na Mwanamke Mpumbavu wa mfano wako na mwenye Sura mbovu kama Kalio / Tako la Nyani.
safi sana mkuu, huyu demu msen.ge sana anatumia kinembe kufikiria
 
Back
Top Bottom