Nielewesheni jamani

Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,637
3,035
Inawezekanaje mtu akuteke akae na wewe siku kadhaa. halafu anakupeleka mahali anakuachia na silaha ambazo zana zake za kazi Kisha aende zake hivi hivi tuu ???
Anakuachia usafiri, anakuachia silaha anaenda zake.

Hivi anapoacha silaha inamaana hiyo kazi kastaafu au ?????

Hivi amekuachia usafiri na kuendesha unajuwa kwanini usiendeshe mwenyewe kwenda nyumbani. Kuna nini mpaka uite watu wakufate.

Kila nikiwaza sielewi hebu nielewesheni.
 
Kama huyaelewi achana nayo, ukitaka kuyaelewa utajikuta mahali pasipoeleweka na ikitokea ukarudi salama nasi hatutakuelewa, acha maisha yaendelee
 
Inawezekanaje mtu akuteke akae na wewe siku kadhaa. halafu anakupeleka mahali anakuachia na silaha ambazo zana zake za kazi Kisha aende zake hivi hivi tuu ???
Anakuachia usafiri, anakuachia silaha anaenda zake.

Hivi anapoacha silaha inamaana hiyo kazi kastaafu au ?????

Hivi amekuachia usafiri na kuendesha unajuwa kwanini usiendeshe mwenyewe kwenda nyumbani. Kuna nini mpaka uite watu wakufate.

Kila nikiwaza sielewi hebu nielewesheni.

Ili kupata majibu ya maswali yako inabidi ujifanye mtoto kwanza ndipo utapata majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom