Towa mchanganuo wa malipo kwa mtu binafsi.Ushauri wangu usijiunge na NHIF utajutia pesa yako, jiunge na mifuko mingine kama AAR n.k hao jamaa wa NHIF wanachokijua ni kuifurahisha serikali kwa kununua mashangingi kwa ajili ya M/Kiti wa Bodi na Waziri badala ya kuwekeza kwa wagonjwa wachangiaji
Duh! AAR hao si ni private je ada zao itakuaje?Ushauri wangu usijiunge na NHIF utajutia pesa yako, jiunge na mifuko mingine kama AAR n.k hao jamaa wa NHIF wanachokijua ni kuifurahisha serikali kwa kununua mashangingi kwa ajili ya M/Kiti wa Bodi na Waziri badala ya kuwekeza kwa wagonjwa wachangiaji
Ushauri wangu usijiunge na NHIF utajutia pesa yako, jiunge na mifuko mingine kama AAR n.k hao jamaa wa NHIF wanachokijua ni kuifurahisha serikali kwa kununua mashangingi kwa ajili ya M/Kiti wa Bodi na Waziri badala ya kuwekeza kwa wagonjwa wachangiaji
atakua mkoani Darisalama
Natibiwa uzur nhif,sijawah jutia.
Upo wapi wewe? Mkoani?
Nisaidie mimi niko arusha ndugu...
Natibiwa uzur nhif,sijawah jutia.
Upo wapi wewe? Mkoani?
nenda kajiunge na PSPF mm niko huko ukijiunga na hao watakurahisishia kupata mfuko wa bima kwa kupitia hao utakuwa umewekwa kwenye NHIF kupitia hao cha kufanya unajaza fomu zao kama mwanachama wao na unapata hata mikopo toka kwao na mafao mengi tu watembelee wako jengo lao la GOLDEN TULIP pale posta orofa ya 4Duh! AAR hao si ni private je ada zao itakuaje?
Asante sana mimi pia NHIF haijawahi niangusha only nilijichanganya nikaenda hospital ya Mama Ngoma kupima only laria ndipo wakaona sina kitu nikaandikiwa panadol, dirishani wakaniambia tunakupa za kuhesabu nikaomba za bilsta wakaniambia coz is a bima sharti nichukue za kupima.... sidhani kama nitarudi pale tena... though nilijasikia kumbe ni kwa ajili ya saratani if kweli
Natibiwa uzur nhif,sijawah jutia.
Upo wapi wewe? Mkoani?
Kwa maeneo ya Mijini like Dar NHIF haina bugudha hasa private HospitalsAsante sana mimi pia NHIF haijawahi niangusha only nilijichanganya nikaenda hospital ya Mama Ngoma kupima only laria ndipo wakaona sina kitu nikaandikiwa panadol, dirishani wakaniambia tunakupa za kuhesabu nikaomba za bilsta wakaniambia coz is a bima sharti nichukue za kupima.... sidhani kama nitarudi pale tena... though nilijasikia kumbe ni kwa ajili ya saratani if kweli
Kwa Arusha hasa mjini haina shida,huduma za NHIF gozi gozi huko focal areas hasa VIJIJINI na wilayani.Mijini MPETO SANANisaidie mimi niko arusha ndugu...
Nenda pale jengo la NSSF KALOLENI, kwenye round about ya florida uliza wale walinzi pale reception utaelekezwa zilipo ofisi za NHIF, ukifika eleza shida yako utasaidiwaNisaidie mimi niko arusha ndugu...
Kwa ninavyofahamu NHIF kwa private...ada yake ni 1,500,000/- Ila inakuwa ni kwa watu sita( Hata kama uko peke yako ada yao ndio hiyo)..ila kwa urahisi zaidi nenda huko PSPF, ACCESS BANK,Pia CRDB (Haiwezi ikazidi 150,000) nao hutoa huduma hiyo kwa kukuunganisha na NHIF.nenda kajiunge na PSPF mm niko huko ukijiunga na hao watakurahisishia kupata mfuko wa bima kwa kupitia hao utakuwa umewekwa kwenye NHIF kupitia hao cha kufanya unajaza fomu zao kama mwanachama wao na unapata hata mikopo toka kwao na mafao mengi tu watembelee wako jengo lao la GOLDEN TULIP pale posta orofa ya 4
Nipo Dar ila hospital nyingi za hizo ulizo tumia vzr zingine zimeshaanza kusitisha mikataba najua unawazungumzia Regency +kairuki+ tumaini ila ni suala La muda tu tungoje
Natibiwa uzur nhif,sijawah jutia.
Upo wapi wewe? Mkoani?
Changamoto iliyopo sasa hivi inaonekana NHIF wanachelewa sana kuwalipa hawa watoa huduma.Nipo Dar ila hospital nyingi za hizo ulizo tumia vzr zingine zimeshaanza kusitisha mikataba najua unawazungumzia Regency +kairuki+ tumaini ila ni suala La muda tu tungoje
Nssf ndio kimeo, NHIF bado wapo vizuri tu hakuna matata.Nipo Dar ila hospital nyingi za hizo ulizo tumia vzr zingine zimeshaanza kusitisha mikataba najua unawazungumzia Regency +kairuki+ tumaini ila ni suala La muda tu tungoje
Asante sana nduguNenda pale jengo la NSSF KALOLENI, kwenye round about ya florida uliza wale walinzi pale reception utaelekezwa zilipo ofisi za NHIF, ukifika eleza shida yako utasaidiwa
naomba tena kurudia kuuliza hili swali..Wandugu habari zenu, nisaidieni namna au taratibu za kujiunga na mfuko wa Bima ya afya nianzie wapi ,mimi nimeajiliwa kampuni binafsi... asanteni