Azam TV mnatuibia hivi?

Azam TV mnatuibia hivi?

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
217
Unanunua kifurushi Cha 18000 unapewa Chanel za kipuuzi tu.. Hats Ukisema basi niangalie move utakutana na move zilezile tatu, man in black, Jurassic Park na ile raid anauliwa...
Dah mnatutesa na fedha yetu
 
kama ww si mwanasoka kubaki Azam tv huku ukilipia nikujiibia pia sawa nakujikatili mwenyewe
 
Binafsi nawakubali sana Startimes,Azam chanel zao zinarudia vipindi hasa movies
Jamai laja na zile movie za kihindi za weekend ndo zinanivutia tu
karibu startimes Mkuu
 
Mbona wenzako kilaa siku wanafagilia tamthilia ya Sultan
 
Binafsi nawakubali sana Startimes,Azam chanel zao zinarudia vipindi hasa movies
Jamai laja na zile movie za kihindi za weekend ndo zinanivutia tu
karibu startimes Mkuu
Mimi pia nimekwama. Startimes wana mipira ipi wanayoionesha? Mimi ni mpenzi wa ligi ya Italy !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom