Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salama nyote. Mie husafiri Mara nyingi kutoka KILOSA dar kwa usafiri binafsi. Kuna kipande kutoka Morogoro kwenda dumila Panaitwa makundi. Hapa kwa anaepajua pana speed restrictions ya 50 kph...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
Habari za wakati huu ndugu wanaJF, Juzi juzi niliweka humu thridi yangu juu ya UMUHIMU WA KUAJIRI WALIMU WA SOMO LA LUGHA YA KIINGEREZA ngazi ya msingi na sekondari na nilitoa maelezo jadidi kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo tarehe 20.10. 2018 nimesafiri na ndege ya shirika la ndege la Air Tanzania kutoka Bukoba kwenda Mwanza,nilichokiona kimenisikitisha sana.Pamoja najitihada kubwa za selkari ya awamu ya tano...
20 Reactions
67 Replies
7K Views
  • Closed
Jarida la Forbe limetoa taarifa yake ya Oktoba 2018 ya Matajiri 10 wanaoongoza Tanzania. Mohammed Dewji anaongoza akifuatiwa na Rostam Aziz na Said Salim Bakheresa ni wa tatu. Yusuf Manji ni wa...
2 Reactions
33 Replies
89K Views
Hata akikusalimia badala ya kupokea salama, unakimbilia usijal mambo hayajakaa sawa. Akiwa anapita maeneo ya nyumbani kwako unamuona kama msumbufu flani ivi, namba mpya ikikupigia hupokei kwa uoga...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni karibia wiki ya nne sasa kila jumanne na jumatano wakazi wa ukonga wanaikosa huduma ya umeme kwa kuanzia asubuhi saa mbili mpka SAA 12 jioni.. Tanesco hawana taarifa rasmi inayoeleweka...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba uhalali wa mwanaume kuchukua mshahara wa mke wake kwa nguvu, kuna sheria yoyote juu ya hili?
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Watu wawili wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea eneo la Igagala tarafa ya Mikumi katika Barabara Morogoro Iringa, ikihusisha malori mawili. Pichani...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Naam wiki moja tangu Mo atekwe na kurudishwa Nakumbuka siku hiyo mkuu wamkoa wa dar aliahidi kwenda kufuatilia kero ya usafiri kwa wakazi wa kimara . Mimi kama mdau wa usafirishaji nikaona...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimewarejesha wanafunzi 682 waliokuwa wamefutiwa usajili na chuo hicho. Akizungumza katika mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Familia ya Mengineyo Mabula, mkazi wa Samina mjini Geita anayedaiwa kuuawa na walinzi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) usiku wa kuamkia juzi, wamegoma kuuzika mwili wa ndugu yao hadi mgodi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya wauguzi wa hospitali ya rufaa ya kanda ya Mbeya wanatuhumiwa kuiba dawa za wagonjwa ambao hufariki kabla ya kumaliza tiba. Malalamiko hayo yametolewa na wananchi mbele ya mkuu wa mkoa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama patatokea ' machafuko ' yoyote yale nchini Tanzania basi hili Gazeti la TANZANITE litahusika kwa 100%. Ni Gazeti la ' Kihuni ' na ambalo 24/7 linaandika tu ' Uhuni ' huku Wahusika wakuu na...
17 Reactions
30 Replies
3K Views
Mara waga najiuliza maswali yafuatayo kuhusu ufanyaji kazi wa hizi taa Je izi taa hujicontrol zenyewe automaticall yaani system nzima iko pale pale ilikofungwa taa ama kuna watu wanakuwa control...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Kuna hii tabia imejengeka kwa matrafiki wa pale moroco ya kuyasimamisha magari yaendayo sehemu nyingine yoyote kasori yale yanayotoka na kwenda posta. Hali hii inatokea kila siku hasa mida ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Huwa najiuliza sana hivi vituo kufungwa mlango mmoja Kwa nini walijenga miwili? hawaoni kero kubwa ya kuzunguuka kwa abiria/wateja wao Je hakuna waaolipwa 'hewa' kwa huu mlango wa pili Hii kero...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi huu ni ushauri wangu kwa Familia ya Mo Dewji. Kwa kuwa Familia ya Mo dewji iliahidi kutoa bilion moja za kitanzania kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtoto wao. Na kwa kuwa Dewji...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wanne katika kijiji cha Namasalau kata ya Tuwemacho wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamefariki dunia kwa kuugua ugonjwa wa ajabu wa kukohoa na kutapika damu huku wananchi wakiuhusisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini baada ya kumaliza kula nanasi na ukanywa maji unasikia ladha ya uchungu mdomoni? Je kuna uhusiano gani kati ya nanasi na maji?
0 Reactions
71 Replies
19K Views
Naiomba familia ya" MO" kama itaona inafaa,itumie fedha hiyo kuisaidia ufungaji wa camera jijini,hii italisaidia jeshi la polisi kukabiliana na uhalifu,mchango huu utakumbukwa daima
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom