Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna eneo letu hapa Bagamoyo lilipata mradi wa REA ambapo waya na transformer ziko tayari,na Naibu waziri alifika eneo la mradi na kuahidi umeme utawashwa mapema. Sasa yapata miezi 10 ila umeme...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Igwee! Nilirejea siku chache zilizopita, sikuwa mbali Sana niliingia ingia nakutoka. Lakini sitasahau wakati flani baada ya kutoka ku sign out narudi Hamad !!! Jf ilifungwa...niliumia Sana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu imeamuru kukamatwa kwa MC Anthony Luvanda, kwa kusafiri kwenda China kinyume na masharti ya dhamana. MC Luvanda aliwekewa sharti la kutosafiri katika kesi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama ya Kisutu imeamuru kukamatwa kwa MC Anthony Luvanda maarufu MC Luvanda kwa kusafiri kwenda China kinyume na zuio la Mahakama la kutosafiri Mshereheshaji huyo maarufu yuko nje kwa dhamana...
4 Reactions
12 Replies
7K Views
Eti wataalamu wa kula mitaani/migahawani,kuna ukweli wowote juu ya hili kuwa ukiona sehemu traffic wanakula ujue hapo kuna msosi mzuri,kuna yeyote analijua hili,maana kuna sehemu hawa mavazi meupe...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
habari wadau.. nimeguswa sana na ajali iliyoua watu watano singida.. gari za serikali zinaua sana watumshi wake.. najua wengi tunasema siku zimefika.. au Mungu amependa.. ila hatujiulizi why...
21 Reactions
47 Replies
7K Views
October 23, 2018 Arusha, Tanzania Kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary imeanzisha kiwanda cha kuongeza thamani ya madini ya tanzanite nchini Tanzania na tayari kimeanza kazi ya kukata na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
au wenye gazeti WAMETUNGA? ??
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Habar za midaa Kumekuwa na hali ya mvumo mkubwa Wa upepo siku mbili hizi hasa ktk jiji LA mwanza Jana sijalala kabisa nilkuwa nahofia kibanda changu kuezuliwa paaa Je huu upepo una ashiria nini...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mkandarasi hewa wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), anadaiwa kukusanya zaidi ya Sh milioni 24.6 kutoka kwa wananchi 22 wa Kijiji cha Manyire, Kata ya Mlangarini wilayani Arumeru mkoani Arusha...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hassan Aboud Talib maarufu Kiringo aliyekuwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana wa kiume ameachiwa huru kwa dhamana huku jeshi la polisi likiendelea na uchunguzi. Kamanda wa...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Mada ihusuyo yajieleza na kujipambanua. Hii status nimeisikia kitambo kidogo lakini najiona kama hainihusu hii taito. Huwenda nikawa najidanganya. Sifa za kuwa danga wandugu ni zipi,unatakiwa uwe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za jion great thinkers Kwa takribani wiki mbili hizi vyombo vya habari vimelisema sana suala la mwandishi Jamal khashoggi kuuwa kikatili ndani ya ubalozi wa saudi arabia nchini uturuki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mtu mmoja anaitwa Donald Rumsfeld aliwahi kusema: "Kuna mambo tunayojua kwamba tunajua. Halafu kuna mambo ambayo tunajua kwamba hatujui. Lakini pia kuna mambo ambayo hatujui kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mchana wadau wa jf dimbwi la maarifa. Ninafanya kazi sekta binafsi,nimechukua likizo ya bila malipo sasa ni mwezi mmoja toka October,silipwi mshahara wala chochote kwenye akaunti yangu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
There are four types of photographs 1.Aerial 2.Ground 3.Vertical 4. Siro photography Describe SIRO PHOTOGRAPHY Chit chat
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila siku utasikia watu wengi wakiongelea kuwa IQ ya watanzania ni ndogo - iko kwenye asilimia 70. Ufafanuzi uko hivi: ni kutokana na matendo ya walio wengi kutotenda kwa sababu sahihi. ONA...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wahusika kuna hili shimo lipo aneo linaitwa majani ya chai jirani na petrol station ya panone. Linaharibu sana tairi za magari kiasi kwamba kuna watu wanaoishi jirani na hapo wamenunua jeki...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Zambia wamezuia Magari makubwa yenye matenki ya kuhifadhia mafuta ya akiba. Magari makubwa yanakuwa na akiba ya Mafuta ili wayatumie watakapoishiwa njiani kwani yanafanya safari za masafa marefu...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom