Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo...
2 Reactions
4 Replies
158 Views
😡SADISTS hawa wana msongo kutokana na mambo mengi hayajitiki, muda umewatupa mkono au juhudi zao haziendani na matunda yao. Kwao comments zao dakika 2 tu matusi hayo. 😶INTROVERTS AMBAO WAKIINGIA...
9 Reactions
38 Replies
570 Views
Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa. Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Matendo Ya Mitume 2:38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu nini? ni...
3 Reactions
0 Replies
298 Views
Anonymous
Karavati hili lilijengwa kwa nguvu na mchango wa wananchi miaka mingi iliyopita, lakini hadi leo bado lipo katika hali inayotia wasiwasi mkubwa. 📍 Mahali: Mkoa wa Pwani, Mkuranga, Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake. Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu. Kwa ili wanawake sijui kama mna la...
8 Reactions
25 Replies
454 Views
85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana...
4 Reactions
65 Replies
844 Views
MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 81 wa Michezo ya Majeshi Duniani (81st...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Kama serikali ya CCM inavochukulia watanzania ni wasahalifu na nyie inawachukulia hivo hivo sababu ndio mlipotokea. Sio kwamba jeshi la polisi hakuna watu wanayofurahi haya ila kutokana na mfumo...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Long live Rais Kagame Long live Wanyarwanda Long live Tutsi tribe Long live GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE. Juha =Mpumbavu Majuha= Wapumbavu
1 Reactions
3 Replies
102 Views
ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa...
3 Reactions
4 Replies
139 Views
Kuna watu thamani katika maisha yetu hapa duniani wapo na wanaweza wakawa ni wa muhimu katika negative way au positive way. Ukiachana na ndugu wa faida na wazazi bado kuna watu baki wanaweza...
2 Reactions
0 Replies
141 Views
Watanzania tujifunze forensics ya kuunga mambo kiundani. Hata balozi Polepole naona kama angekuwa nchi za nje tungejua mengi ila ndio hivo sababu ya kuwa cheguvara kwa nchi yake. Hapa kuna fail...
3 Reactions
3 Replies
170 Views
Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai, Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu...
14 Reactions
126 Replies
1K Views
Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la...
2 Reactions
17 Replies
390 Views
Mdau anauliza Mungu alimwambia mtu aliyevaa joho jeupe anywe divai lakini asioe, kisha akamgeukia mtu aliyevaa kanzu nyeusi akamwambia asinywe divai lakini aoe wake wanne?
1 Reactions
2 Replies
83 Views
Anonymous
Nimekutana na kadhia kubwa ambayo nilinunua viwanja kadhaa kwenye mfumo wa tausi eneo la bagamoyo. Na mwaka huu mwanzoni nilitaka kufatilia kupata hati ya viwanja vyangu. Ila nilishangaa kila...
1 Reactions
11 Replies
299 Views
Jinsi walivyokua wanawapenda, wakawatengenezea na kirikuu
3 Reactions
4 Replies
114 Views
Back
Top Bottom