Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo sasa kwamba Mtu anayependa Kulia tena kwa Kutokwa na Machozi kabisa anakuwa amefanya Jambo jema na la Kiafya kabisa Mwilini mwake kwani kwa Kitendo chake hicho...
Nasoma kitabu cha Yoshua bin Sira (biblia )… ...22:7-11
7 Amfundishaye mpumbavu ni kama anayeunga vigae, ni kama anayeamsha mtu aliyelala usingizi mzito.
8 Anayeongea na mpumbavu anaongea na...
Habarini za jumapili ndugu zangu? Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na maisha ya kila siku. Tafadhali naomba nichukue muda wenu kidogo kuwaeleza shida niliyonayo kama mtanzania mwenzenu...
Habarini wakuu. Hivi viwanda vinavyotakiwa kujengwa taratibu za viwanda hivyo kwa sehemu husika. Zinafuatiliwa na kiongozi gani ? No mkuu wa mkoa, au mkuu wa wilaya katika kuwaleta wawekezaji...
Ni kawaida sana kumsikia mtu akisema "kwetu hiki si chakula ni uchafu" au akiuliza, "kwa nini unakula hiki? hiki siyo chakula." N.k
Fikiria watu wawili wa utamaduni tofauti wanapokutana huku kila...
Alipata kupigwa PI mwaka 1994
MENGI yameandikwa na kusemwa juu ya sakata ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiwahusisha watu mbalimbali na upotevu/uporaji wa zaidi ya shilingi bilioni 133 kutoka...
Hao ni baadhi ya maofisa jana baada ya hekalu la waisraeli kuvamiwa na baadhi ya waamini kuuwawa wakiwa ktk ibada ya kumpa toto jina kwa mujibu wa imani yao ya kiyahudi.
Operation zao huwa ziko...
Mashkoro Mageni...
[emoji16][emoji16] aisee hawa wazungu wanatuchezesha kama Game la nyoka.
Wayback nakumbuka, Tulikuwa invited pahala kuweza kushiriki dinner. Basi maakuli yakaandaliwa ila mezani...
Kwa wale wanaotaka kwenda au kusoma Canada, mtaalam Kubeir anaongea live kupitia ColourFm India, pia atakuwepo Live leo sa 12:30-1:30 jioni muda wa Tanzania live kupitia ukurasa wake wa Fb..its...
Naibu wa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema amesikitishwa na kitendo alichofanya Wema Sepetu huku akimtaka kuendelea kusubiri adhabu ya TCRA baada ya Ijumaa hii...
Familia ya kitajiri ya Wakenya wenye asili ya Kikenya,
Imetiwa nguvuni na mamlaka za kisheria nchini Marekani kutokana na kesi za kujihusisha na biashara kubwa za madawa ya kulevya na Pembe za...
Ni gharama kumtegeneza Daktari Bingwa. Ila udhalilishaji unaofanywa na wanasiasa kwa madaktari wetu una dhohofisha jitihada za kuwahudumia wananchi. Wakuu wa mikoa wanao wadhalilisha madaktari...
Kuna watanzania wenye akili finyu na wasio itakia Tanzania maendeleo wanashonda jf kuandika habar za kipuuzi kuhusu Tanzania yetu na wengi Wao ni vijana ambao wamemaliza vyuo wanasubr waajiriwe...
Wakuu.
lini mliona serikali hii ina sera rafiki kwa wakulima?
Bei za mazao kushuka na kuacha hasara kubwa kwa wakulima bila msaada ni sababu ya sera za kibabe kwa wakulima tena mnafanya makusudi...
Rubani wa ndege ya Precision Air amelazimika kutua katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) kutokana na hali mbaya ya hewa katika uwanja wa ndege wa Arusha
Hali ya mvua kubwa na ukungu...
Bin Salman: Atang’oka, hatong’oka? Raia Mwema Oktoba 23, 2018
Na Ahmed Rajab
“NIKIJIHISI mchafu, kwa kuwa nikipeana mkono na mtu ambaye mkono wake ulikuwa mchafu.” Alinijibu rafiki yangu...
Bei ya Korosho ilipokuwa juu soko la dunia na korosho kwa kilo iwe juu Mlimsifu sana Magufuli. Imeshuka sasa mnasingizia ni kwasababu ya soko. Kwanini asishutumiwe huyohuyo anayesababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.