mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,695
"Eeh Mwenyez Mungu Nakushkuru sana kwa kuweza kunipa ujasili na Moyo wa kuyavumilia yote niliyo yapitia.
Asante sana Mh. Benard Membe, Joseph Kusaga, Haroun na Kampuni Nzima ya Spice, Mh Nchimbi, Dk Dossaj , Uongozi wangu, jamaa na Marafiki, Mashabiki zangu pamoja na Familia yangu pendwa kwa kuwa nami bega kwa bega katika kipindi chote cha Miezi hii Miwili Migumu kwangu. Nawashkuru sana''
Ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa Facebook..
Watanzania wanachojiuliza mbona hii team Membe aliyoitaja ipo karibu sana na huyu dogo?