GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Hivi nyie wa tanganyika kwani lazima muungano huu, nani kati ya wazanzibari na nyie munao taka muungano huu? Mbona viongozi wa uwamsho mumewaseka ndani Kwa msimamo wao wa muungano.
Tunamwambia magufuli hawa vichwa maji wachukulie hatua au uvunje huu muungano, sisi wazanzibari tumechoka nao kwa matusi yenu, kwenye bunge ma nje ya bunge, muna tudhalilisha pamoja na viongozi wetu.
Tumechoka
NB: Matusi haya yangekuwa kwa magufuli tungesikia mpaka kwenye magazeti wako mbaroni.