UKWELI KUHUSU MUNGU NA BINAADAMU.

UKWELI KUHUSU MUNGU NA BINAADAMU.

Msomi hewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
768
Reaction score
1,067
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo:

*_Nini chanzo cha uhai?_*

*_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_*

*_Dhumuni la kuishi ni lipi?_*

*_Je kifo ndio mwisho wa bin adam?_*

*_Je kuna maisha baada ya kifo_*

Kutoka na bin adam kuwa na ukomo katika kufikiri kwake akaja na majibu ya fuatayo:

*Lazima ulimwengu unacho chanzo, Na hicho chanzo ndicho tunachokisoma kwenye Genesis(Katika Uumbaji)*

*Uhai ni zawadi*

*Dhumuni la kuishi ni kuabudu*

*Kifo si mwisho wa uhai bali ni Mwanzo wa Maisha mapya*

*Ndio kuna maisha baada ya kifo, Na ni Eternal life*

_Katika kuzielezea hizo nadharia bin adamu akasema ya kwamba Vyote vilivyopo ulimwenguni Chanzo chake ni 'MUNGU'_

*Shida iko hapa*:

*_Katika kumuelezea huyo 'MUNGU', bin adam akajikuta anatengeneza kiumbe cha hovyo kuwahi kuwepo Ulimwenguni_*

_Alijikuta akiweka matamanio yake katika kumuelezea huyo 'MUNGU'_, Yaan labda alitakiwa awe hivi ama awe vile, *Na ndio maama Upo mkanganyiko juu Ya Tabia na hulka ya 'MUNGU' Kila dini inajaribu Kuonyesha 'MUNGU', alitakiwa aweje Kulingana na Mitazamo yao*

*_NIONAVYO BINAFSI_*:

_Ulimwengu unacho chanzo japo hakithibitishiki_

_Dhumuni la maisha ni kutafuta furaha yako_

_Ulimwengu unae kiongozi, Probably anaweza kuwa 'MUNGU', ila kwenye sifa za 'MUNGU' waandishi walikosea kumtafsiri_

_Sina hakika kama kuna maisha baada ya Uhai_
 
Mkuu nakukaribisha katika kujifunza yote haya na mengine mengi jumba lolote la ufalme wa yehovah.pia unaweza kumtafuta shahidi yeyote wa yehova akakusaidia.kwa Sasa install app inaitwa JW Ipo playstore.kwa lolote waweza niuliza PM.asante
 
Kama wewe umejifunza na umeiva lakini bado hauwezi kutudonolea hapa kwa uchache hiyo ilimu, kuna tatizo mahali.
 
Mkuu nakukaribisha katika kujifunza yote haya na mengine mengi jumba lolote la ufalme wa yehovah.pia unaweza kumtafuta shahidi yeyote wa yehova akakusaidia.kwa Sasa install app inaitwa JW Ipo playstore.kwa lolote waweza niuliza PM.asante
....Asante nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom