Sikuwahi kuwatembelea tena...!

Sikuwahi kuwatembelea tena...!

The man1

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
429
Reaction score
383
**Karibu mgeni, ukionacho humu ndani kiache humu humu ndani.

Hivi wanaoweka hill bango katika nyumba zao huwa wanatufikiriaje sisi wageni wao.
 
Kuna wageni, wana mambo ya kingese mkuu, hawana qaba, anaweza enda tangaza ya ndani kwa hadhira

Mfano. Zipo nyumba hazina heshima, wanaishi kama kambale, humjui baba yupi, mke yupi, mtoto yupi na beki tatu yupi wote wamevurugwa
 
hahah mkuu hapo s ndio ujirekebisha
 
Kama ulipiga simu unaenda kwao Basi ujumbe unakuhusu were binafsi kwa asili 100.
 
Kama ulipiga simu unaenda kwao Basi ujumbe unakuhusu were binafsi kwa asili 100.
😳😳😳😀mara nyingi huu msemo nauona kwa watu tusiokua na hali nzuri kimaisha
 
Back
Top Bottom