Katika Taarifa ya habari ya ITV saa 1:30 asubuhi, kumetaarifiwa kuwepo kwa hujuma katika Daraja la Magufuli lililopo Mto Kilombero, ambapo zaidi ya nati 30 za Daraja hilo zimeng'olewa.
Daraja hilo...
Hakuna Kitu kibaya na kinachotesa kama unakuta unafungulia na kutizama ' Channels ' ambazo umeshasikia kuwa muda wowote zitaondolewa ( zitafyekelewa mbali ) halafu kila mara bado unaziona tu...
Habari za leo wana jukwaa wenzangu,
Mara ya kwanza kusikia kauli ya Prof. Smith kuwa watu weusi Bongo zetu azipo sawa km wao watu weupe niliumia sna nilimlani sna lkn baada miaka 7 ss ya utafiti...
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani masikini. Hata tuhela twao sumuni nato wanataka kupora chini ya uratibu wa SSRA.
Blabla zinazoendelea...
Salaam wakuu,
Kwa masikitiko makubwa naomba nizungumzie huu utaratibu wa kulaza mabasi ya abiria nzega,sijajua shida ni nini wakati unatoka mikoa mingine kuja dar es salaam basi linafika siku hiyo...
Asalaam wana JF
Nafikiria kununua king'amuzi cha Easy Tv,ila kabla sijalipia ningeomba kupata maoni yawe chanya au hasi kwa yule ambaye anakitumia king'amuzi hiki.
Natanguliza shukrani zangu
Wakuu,
Isaac hatunaye; amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.
Taarifa kwa kina nawasogezea..
======
MTANGAZAJI MAARUFU ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA
Amefariki akiwa nchini Ujerumani alikokuwa...
Hivi karibuni StarTimes walipotakiwa kulipa malimbikizo ya kodi waliamua kupandisha bei za vifurushi vyao ili watumiaji welipe kodi hiyo, sasa baada ya kulazimishwa kutoa bure chaneli za nyumbani...
Huyu jamaa ni mfanyabiashara Wa mitumba Mbeya, alifariki mwezi 6 tarehe 4, 2018. Mpaka sasa miezi 4 mwili wake haujazikwa mpaka Leo hii.
Wanafamilia mpaka Leo hii wako kwenye matanga na shughuli...
Wakuu.
Tuulizane maswali juu ya hawa NIDA kwa nini vitambulisho vya taifa wanavitoa kwa style hiyo?
unasajili mapema unaweza kukipata miezi saba au hata baada ya mwaka wao kwao ni sawa. Haya ni...
Wana Jamvi habarini za kazi.
Nimefika hapa Arusha wiki moja iliyopita katika kufanya maandalizi ya safari na jamaa zangu. Kwa masikitiko sana jamaa yetu mmoja anayefanya kwenye taasisi moja hapa...
Office ya NIDA Arusha hapo manispaa, ID gani zinatengenezwa mwaka mzima? Kibaya ukienda kuomba namba ili ukaprocess passport hupati msaada. Wanakwambia leta invitation letter ya nchi unayotaka...
MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza kuuaga mwili wa marehemu Ramnik Patel ‘Kaka’, ambaye alifariki Oktoba 18 mwaka huu, nyumbani kwao Uhindini mkoani Mbeya ambapo kulingana na taratibu na mila za...
Masaa machache leo ilianza kusambaa video ikimuonesha msanii maarufu wa vichekesho Tanzania Joti akiwa anamuwish Heri ya kuzaliwa Rais wa jamuhuri wa muungno wa Tanzania Mh Magufuli... Video hiyo...
Habari kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zinaeleza kwamba Kamanda Yericko Nyerere leo ameonekana hana hatia kwenye kesi ya uchochezi Namba 181/2017 .
Ama kwa hakika Shetani hajawahi...
Habari wakuu
Katika maisha kuna mambo mengi sana ambayo binadamu ameumbiwa ili kumsaidia lakini yampasa kuwa na maarifa fulani fulani ili kuweza kugundua kwa wakati.
Nirukie moja kwa moja kwenye...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka waganga wa kienyeji maarufu kama lambalamba mkoani humo kwenda kuwafufua watu waliofariki dunia, ndipo atakapowaruhusu kuendelea na kazi yao ya...