Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,267
Habari za leo wana jukwaa wenzangu,
Mara ya kwanza kusikia kauli ya Prof. Smith kuwa watu weusi Bongo zetu azipo sawa km wao watu weupe niliumia sna nilimlani sna lkn baada miaka 7 ss ya utafiti binafsi naona Prof Smith alikuwa Sahihi.
Nahisi hata yule bwana mkubwa wa Marekani yupo sawa khs kutawalia tna hakika bara zima la Afrika baada miaka 50 ya kutawaliwa tumeshindwa kujisimamia wenyewe tujaribu kutumia mifano midogo midogo tu mikataba yetu ya madini imekuwa ya hovyo kuliko waliyoingia kina Chief Kimweri ambao awakujua kusoma wala kuandika.
Angalia Mahakama zetu leo kesi sio kesi mtu atasota miaka 5 jera bila uhukumu angalia hospital zetu leo angalia TRA leo mfano khs gari unalipa kodi kuliko bei uliyonunulia Gari Japan or UK.
Angalia viongozi wetu leo wamekuwa zaidi ya malaika wamejipa mamlaka kuliko muumba sio Tanzania tu Afrika zima nimepata bahati kuishi nchi km 10 ktk Africa yetu hakika kila kitu ni sawa mfano kwa sasa nipo Cape Town South African hapa ni hatari km sio mtu mweupe kuwepo hapa nina hakika Tanzania,Kenya na Uganda tungekuwa sawa na hawa watu kuanzia uchumi mazingira.