Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna utaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji Visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa. Lakini...
14 Reactions
982 Replies
161K Views
Leo tumeamshwa na mshtuko wa ajali ya waziri wa utalii ndugu Dr. Khamisi Kigwangala.... Picha za ajali zilianza kusambaa mapema kabisa asubuhi huku habari zikisema waziri yuko na hali mbaya huku...
7 Reactions
170 Replies
26K Views
Nasikia kuna mafao yatatolewa kuanzia mwezi ujao, lakini pia fao la kukosa ajira ni kwa wale tu waliokosa au kupata janga la kukosa ajira kuanzia mwezi wa nane mwaka huu, je, wale tulioondoka/kosa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Dhamira ya JPM ni nzuri kuboresha Chatto, Justification uwanja 3.5 km x 2 ambayo hata dreamliner zawezaweza pishana. 1. Utalii kanda ya ziwa na magharibi tayari mipango kuondosha wafugaji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
leo mida ya saa nane nimeshtuka baada ya kufungua kock ya maji muwasa na kuona yanatoka maji machafu . sjiu maji taka na maji saf yanaingiliana? Na kama ndo hvyo hal ya afya ya watumiaji itakuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wapendwa. Kama kichwa kinavyosomeka mimi ninaomba majibu. Ninahitaji majibu yenu ili yatoe mwelekeo wa mjadala huu pengine uende 'neksiti levo'. Nauliza tena wazazi,mnajisikiaje...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wiki iliyopita niulimizwa sanaa kitendo cha Orofessa mmoja ambae mimi nilitokea kumuelewa sanaaa na ni MWALIMU mmoja mzuri sanaaa wa masuala ya UShirika nchini. Huyu nae aliteuliwa kutoka chuo...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzuqa Ni njooz za ushindi njozi za mafanikio, maneno huumba. Ni muendelezo wa njooz za kuwa millionare intem of $$££€. Nikizikamata lazima ni vute mjengo 4-5 bedroom villa ama aparrtment Dubei...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa waliowahi kupata tatizo la kupitiwa na upepo mchafu wa kidunia kidogo bahati mbaya(mapepo/majini). Inatokea inakugusa halafu unakuta upande mmoja wa uso unavimba na mdomo unaanza enda upande...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari ya mchana wana JF mimi nimtumiaji mzuri wa maji masafi toka mda sana lakini kuna shida moja nimeiona sasa ni kama zaidi ya mwezi mmoja na inahatarisha afya zetu kwa matumizi ya binadamu...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
Wadau mimi ni msikilizaji wa radio, na kiukweli napenda kusikiliza BBC au/na DW kwa sababu ya uchambuzi wa habar zao. Kwa bahati mbaya natumia simu ya TECNO ambayo haiwezi kushika mawimbi ya Short...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jina la Makala: The brilliant Definition of a Bank Mwandishi: _Anil Gupta, CEO Kunashi India Limited_ Mchambuzi: Frank-Mromba Prosper 'don_prospa' MAANA ADHIMU YA BANK Mwandishi anaanza kwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam kwenu ndugu!! Naomba tupeane maarifa kuhusu mazingira ya kibiashara pamoja na ajira zinazopatikana kwa wingi nchini Comoro. 1: Naona wacomoro wengi sana wanakuja Dar es salaam kufata...
5 Reactions
34 Replies
10K Views
amekuwa traumatized. anaumia kuona wale watu aliokuwa amewaamini kama marafiki zake ...wale watu aliokuwa akidhani watasaidiana naye kujenga nchi... nlimwona akiwa anaombewa na watumishi wa dini...
11 Reactions
36 Replies
7K Views
Jamani nilikuwa sijawahi kubaguliwa ,ila kwa ubaguzi tunaofanyiwa na maofisa wetu kazini, lazima ujiskie vibaya.Kama inavyofahamika Wengi tupo kazini kutafuta pesa au riziki ili tuendeshe maisha...
19 Reactions
107 Replies
11K Views
PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
0 Reactions
14 Replies
46K Views
Ndugu zangu Leo nimeamua nianzishe topic hum jf, hili jukwa limekua msaada mkubwa kwangu, nimejifunza mengi mno Leo ningependa tuweze ku -Share Nyuzi unazo penda kukutana nazo, ambazo ukisoma...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) bila kujali tofauti za vyama vya kisiasa imeisi a utendaji wa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) kutokana na kujipanga kimkakati katika...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Leo tah: 28/10/2018 imetimu miezi mitatu toka Wakuu wa Mkoa na Wilaya wateguliwe nyazifa hizo. Ndugu zetu hawa yamewakuta wale wa mwaka 2016,hawajalipwa hela za nauli ya kwao na...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Katika Taarifa ya habari ya ITV saa 1:30 asubuhi, kumetaarifiwa kuwepo kwa hujuma katika Daraja la Magufuli lililopo Mto Kilombero, ambapo zaidi ya nati 30 za Daraja hilo zimeng'olewa. Daraja hilo...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…