NIMEWEKA UZI HUMU JUU YA HILO! KUNA KITU KINAFANYIKA NA BENKI. TUMUULIZE NANI? NANI WAZIRI MWENYE DHAMANA TUMTAFUTEPPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
kumbe kuna wastaafu humu.. mzee shikamoo
SO SLOW! monthly pension... nadhani hii ndiyo sahihi.PPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
linafurahia kama vile halitastaafu! Basi aombe afe kijana maana naona anaona kustaafu ni fedheha!Ulidhani watoto wenzio wa form 2 kama wewe?
basi wewe utakufa kijana usiitwe mstaafukumbe kuna wastaafu humu.. mzee shikamoo
PPF hawamo humu mpeni jibu mzee watuPPF hupeleka mapema pension za kila mwezi za wastaafu lakini wafanyakazi wa bank wako so slowly kupost kwenye akaunti za wastaafu. Hadi leo 27.10.2018 wastaafu bado hatujapata month pension.
how?PPF hawamo humu mpeni jibu mzee watu
Waeleze kama ni wao wanachelewesha au ni upande wa mabenkihow?
Nasikia serikali imezitafuna hela za mifuko hawana hela ya kulipa. Sijui ukweli wa hili uko vipi, lkn ndilo linaloongelewa huku.Waeleze kama ni wao wanachelewesha au ni upande wa mabenki
PPF haipo tena. Walikuwa wanajitahidi sana kuwahisha pensheni za wastaafu. Tatizo limeanza baada ya kuyaunganisha mashirika haya ya pensheni. Kwa sasa Shirika linalohusika na pensheni za iliyokuwa PPF ni PSSSF.PPF hawamo humu mpeni jibu mzee watu
Ok asante kwa kunieleweshaPPF haipo tena. Walikuwa wanajitahidi sana kuwahisha pensheni za wastaafu. Tatizo limeanza baada ya kuyaunganisha mashirika haya ya pensheni. Kwa sasa Shirika linalohusika na pensheni za iliyokuwa PPF ni PSSSF.