Maprofesa na madaktari mnateuliwa na kutumbuliwa mliotufundisha tunaumia; Waraka wangu kwako Prof. Magige

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,465
2,000
Wiki iliyopita niulimizwa sanaa kitendo cha Orofessa mmoja ambae mimi nilitokea kumuelewa sanaaa na ni MWALIMU mmoja mzuri sanaaa wa masuala ya UShirika nchini.

Huyu nae aliteuliwa kutoka chuo cha ushirika Moshi akapelekwa wizara ya kilimo na kuwekwa chini ya Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.

Baada ya uteuzi wake Proffessa Magige ni watendaji wachache waliokuja na kubuni mbinu mbalimbali za kuwezesha kuinua ushirika nchini kutokana na elimu yake na utafti.

Proffesa Magige alipelekea Tume hiyi kufahamika kuoitia wazo lake la kuwausisha private partner katika kuendesha ushirika nchini.

Ubunifu wake huu ulipelekea Profesa kuonekana ana akili nyingi na akapewa kusimamia idara ya elimu chini ya Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.

Professa alinitaid sanaa wazo lake la kuinvolve private sector katika kuendesha na kusmamia vyama vya ushirika kulipeleka Tume kupata kipato ambacho kwa mwaka si chini ya milioni 50m zitokanazo na hao private sector kuchangia kama ada.

Baada ya wazo lake kufanikiwa Profesa ghafla tulijulishwa kuwa ameteuliwa kuwa kaimu mkurugenzi wa Bodi ya korosho nchini.

Kwa kweli tulio mjua tulijuliza kwa nn proffesa huyo anakubali kupelekwa huko?

Tulipochunguza tukagundua kuwa hiyo kwake ilikuwa ni promotion ya kisiasa iliyolenga siku moja kumdhohofisha kwani pale Tume alikokuweko alikuwa na mapishano ya kitaaluma na watendaji wa Tume kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja za kiushirika.

Binafsi nilikuwa nikitegemea Profesa awe miongoni mwa makamishina wa tume ili Tume iweze kweli kuja na mkakati mzito wa kuinua ushirika nchini.

Baada ya utezi juzi tunajulishwa kua nae ametumbuliwa na kurudishwa wizarani baada ya wakulima kugoma kuuza korosho chini ya bei iliyopangwa na Bodi hiyo.

Kibaya zaidi inasemekana proffesa alienda kwa wakulima akiwa na Askari polisi ili kulazimisha wakulima wasaini kuuza chini ya bei stahiki!

Kibaya zaid juzi nikasikia Mh rais wakati akiongea na wannunuzi wa korosho akichomekea neno kwa kusema"" jaman watu hamjajua kuwa mambo yamebadilika jaman""hizi zilikuwa ni dariri kuwa proffesa pamoja na watumishi wa Bodi walitaka kuwapiga wakulima.

Jaman proffesa wetu mnaoteuliwa na Mh raisi anapowatumbua tambueni kuwa mlio wahi kutufundisha tunaumizwa sanaa tunajihisi kuwa sasa na sisi elimu zetu tulizonazo tulipewa na wapigaji.

Na inawezekana elimu hizo ni za kipigaji ndio maana Mh Raisi hatuteui kbsaaa kwa kuofia kuwa na sisi ni matokeo ya wapigaji.

Naomba kuwasilisha.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,453
2,000
Wewe unaijua njaa??

Tumbo ndilo linalowasumbua hao maprofesa wako hadi wanakubali teuzi zake huyu jamaa!

Kwa mtu aliye na akili timamu hawezi kubali kuteuliwa na huyu Jiwe....

Ila kwa wale wenzangu wa kuripoti Milembe watazipokea teuzi hizo chap chap

Hamkusikia pale alipojitanabaisha kuwa yeye ni kichaa na anaowateua ni vichaa wenzake??
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,897
2,000
Wiki iliyopita niulimizwa sanaa kitendo cha Orofessa mmoja ambae mimi nilitokea kumuelewa sanaaa na ni MWALIMU mmoja mzuri sanaaa wa masuala ya UShirika nchini.

Huyu nae aliteuliwa kutoka chuo cha ushirika Moshi akapelekwa wizara ya kilimo na kuwekwa chini ya Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.

Baada ya uteuzi wake Proffessa Magige ni watendaji wachache waliokuja na kubuni mbinu mbalimbali za kuwezesha kuinua ushirika nchini kutokana na elimu yake na utafti.

Proffesa Magige alipelekea Tume hiyi kufahamika kuoitia wazo lake la kuwausisha private partner katika kuendesha ushirika nchini.

Ubunifu wake huu ulipelekea Profesa kuonekana ana akili nyingi na akapewa kusimamia idara ya elimu chini ya Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.

Professa alinitaid sanaa wazo lake la kuinvolve private sector katika kuendesha na kusmamia vyama vya ushirika kulipeleka Tume kupata kipato ambacho kwa mwaka si chini ya milioni 50m zitokanazo na hao private sector kuchangia kama ada.

Baada ya wazo lake kufanikiwa Profesa ghafla tulijulishwa kuwa ameteuliwa kuwa kaimu mkurugenzi wa Bodi ya korosho nchini.

Kwa kweli tulio mjua tulijuliza kwa nn proffesa huyo anakubali kupelekwa huko?

Tulipochunguza tukagundua kuwa hiyo kwake ilikuwa ni promotion ya kisiasa iliyolenga siku moja kumdhohofisha kwani pale Tume alikokuweko alikuwa na mapishano ya kitaaluma na watendaji wa Tume kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja za kiushirika.

Binafsi nilikuwa nikitegemea Profesa awe miongoni mwa makamishina wa tume ili Tume iweze kweli kuja na mkakati mzito wa kuinua ushirika nchini.

Baada ya utezi juzi tunajulishwa kua nae ametumbuliwa na kurudishwa wizarani baada ya wakulima kugoma kuuza korosho chini ya bei iliyopangwa na Bodi hiyo.

Kibaya zaidi inasemekana proffesa alienda kwa wakulima akiwa na Askari polisi ili kulazimisha wakulima wasaini kuuza chini ya bei stahiki!

Kibaya zaid juzi nikasikia Mh rais wakati akiongea na wannunuzi wa korosho akichomekea neno kwa kusema"" jaman watu hamjajua kuwa mambo yamebadilika jaman""hizi zilikuwa ni dariri kuwa proffesa pamoja na watumishi wa Bodi walitaka kuwapiga wakulima.

Jaman proffesa wetu mnaoteuliwa na Mh raisi anapowatumbua tambueni kuwa mlio wahi kutufundisha tunaumizwa sanaa tunajihisi kuwa sasa na sisi elimu zetu tulizonazo tulipewa na wapigaji.

Na inawezekana elimu hizo ni za kipigaji ndio maana Mh Raisi hatuteui kbsaaa kwa kuofia kuwa na sisi ni matokeo ya wapigaji.

Naomba kuwasilisha.
Ukweli roho inamuma sana tena sana. Sema ukiwa professor unakuwa na uhuru zaidi, hela zaidi ila ukiamua kutumia akili yako tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom