Thread zinazokuvutia hapa JF ni Zipi?

Thread zinazokuvutia hapa JF ni Zipi?

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,247
Ndugu zangu Leo nimeamua nianzishe topic hum jf, hili jukwa limekua msaada mkubwa kwangu, nimejifunza mengi mno
Leo ningependa tuweze ku -Share Nyuzi unazo penda kukutana nazo, ambazo ukisoma hazikuchoshi

Kwa mfano Mimi binafsi nikionaga Thread inayo zungumzia maswala yanayo husiana na kwenda nje ya nchi lazima nitie nanga hapo.

Je wewe ni uzi upi ulio wahi kukukonga moyo na ungependa uletwe hata kwa mara nyingine ila kwa taswira tofauti,
Yani unapenda kitu gani hapa kiwe endelevu. Najua mmenielewa.

Karibuni kwenye himaya ya Kiha.
 
Thread ya mwananyamala ya Mshanajr, sijawahi kuishi huko ila inaonekana walioishi huko wali enjoy sana matukio ya kuchekesha, kuhuzunisha na vya kutisha pia.. Hua napenda kuipitia mara kwa mara hii thread
 
Toka umeanza kufuatilia hizo nyuzi zinazohusiana na masuala ya kwenda nje ya nchi umefanikiwa kuondoka huko mkuu? usiishie kusoma tu hizo thd bila kuzifanyia kazi,
A dream doesn't become reality through magic,it takes sweat,determination and hard work.
 
Ndugu zangu Leo nimeamua nianzishe topic hum jf, hili jukwa limekua msaada mkubwa kwangu, nimejifunza mengi mno
Leo ningependa tuweze ku -Share Nyuzi unazo penda kukutana nazo, ambazo ukisoma hazikuchoshi

Kwa mfano Mimi binafsi nikionaga Thread inayo zungumzia maswala yanayo husiana na kwenda nje ya nchi lazima nitie nanga hapo
Je wewe ni uzi upi ulio wahi kukukonga moyo na ungependa uletwe hata kwa mara nyingine ila kwa taswira tofauti,
Yani unapenda kitu gani hapa kiwe endelevu. Najua mmenielewa
Karibuni kwenye himaya ya Kiha.

Mimi huwa navutiwa hasa na zile ' threads ' ambazo huongelea mno kama siyo sana masuala ya ' Mbunye ' na mwenzake ' Mkuyenge ' Mkuu.
 
Toka umeanza kufuatilia hizo nyuzi zinazohusiana na masuala ya kwenda nje ya nchi umefanikiwa kuondoka huko mkuu? usiishie kusoma tu hizo thd bila kuzifanyia kazi,
A dream doesn't become reality through magic,it takes sweat,determination and hard work.
Kiukweli nimefanikiwa kwa kiasi flan japo sio ki vile
 
Story ambazo hazina chura ananesanesa mie nafyekelea mbaliiiiiiii
 
Back
Top Bottom