Nataka kununua apartment Dubai Palm Island

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa

Ni njooz za ushindi njozi za mafanikio, maneno huumba. Ni muendelezo wa njooz za kuwa millionare intem of $$££€.

Nikizikamata lazima ni vute mjengo 4-5 bedroom villa ama aparrtment Dubei palm island/palm jumeirah inagharimu 8,000,000 kama dola million mbili hivi.

Kumbuka kwenye hii artificial island kuna mastaa wanamiliki mijengo huko kama oprah, messi, ronaldo, meiweza na lebron.

Nami nataka kuwa mtu kati ya wa watu walioshi na watu na walioona watu.

Narudi kulala ila nitawa update kila mara nilipofikia kwenye hizi njooz za ushindi and the ROAD TO REDEMPTION!

Yesu shuka

👇👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_2018-10-30-01-29-03.png

Screenshot_2018-10-30-01-28-51.png

Dubai-1024x512_bullets.jpg
 
Mzuqa

Ni njooz za ushindi njozi za mafanikio, maneno huumba. Ni muendelezo wa njooz za kuwa millionare intem of $$££€.

Nikizikamata lazima ni vute mjengo 4-5 bedroom villa ama aparrtment Dubei palm island/palm jumeirah inagharimu 8,000,000 kama dola million mbili hivi.

Kumbuka kwenye hii artificial island kuna mastaa wanamiliki mijengo huko kama oprah, messi, ronaldo, meiweza na lebron.

Nami nataka kuwa mtu kati ya wa watu walioshi na watu na walioona watu.

Narudi kulala ila nitawa update kila mara nilipofikia kwenye hizi njooz za ushindi and the ROAD TO REDEMPTION!

Yesu shuka

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 915679
View attachment 915680
View attachment 915681
Kaka maneno huumba, kikubwa komaa kuzichanga!!
 
Back
Top Bottom