Hiki ni kifaa gani?

Hiki ni kifaa gani?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,



IMG-20181030-WA0028.jpeg
 
Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,



View attachment 916643
Vuta hicho kidude kimekaa kama ringi au bangili ukichomoe kabisa ndio utajua hilo ni embe dodo ama nini, but at your own risk
 
Naomba uruoe mrehesho kanacho AMBATANA NA ka picha baada ya kuvuta ako ka ringi
 
Nenda nacho home......washa jiko la mkaa, hakikisha umekolea sawa sawa........then weka hicho kifaa kwenye huo moto kipashike.....ndani ya dakika kadhaa utakuwa umeshapata majibu......ila kumbuka kuacha wosia tafadhali.
 
Hiko mbona ni kitenesi tu mkuu, hebu chomoa hilo komeo halafu ukidundishe kidogo!
 
Back
Top Bottom