Kanali mwime
Member
- May 5, 2018
- 71
- 171
Wakuu habali za huko tanzagiza! Poleni Sana na majukumu ya kuisoma Namba, tangu nilipotia miguu hapa bondeni namshukuru Sana Mungu napambana si mchezo kuhakikisha naludi Bongo kifua mbele, maisha ya hapa ni mazuri Sana japo tangu nifike miezi mitatu sijawai kupata joto la shemeji yenu hiyo Bahati sina,
Mwisho kabsa anaetaka kuja huku aje lakini asimtegemee ndugu ama rafiki aje Kama Mimi asijiunge na makundi ya kijambazi atafte kazi lazima atafanikiwa, wilaya nzima ya kahama Mtoto mzawa nimimi ndo nipo south kalibuni sana.