MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Ndugu zangu poleni kwa majukumu
Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Wiki kadhaa zilizopita nilifanikiwa kuwa katika mkoa wa Manyara wilaya ya Babati mjini. Baada ya kusikia matangazo mengi kwenye radio flani zikitangaza kanisa la Nabii Mayco ambae yuko mtaa wa Sido mpya.
Tulijipanga kwenda kuona maajabu yanayotangazwa kwenye Radio. Baada ya kufika pale kanisani tulichokiona mhhhhhhhh. Nathubutu kusema Dress code ya waimbaji sio njema.
Nguo zao zimewashika maumbo yao kiasi kwamba huwezi angalia mara mbili. Serikali iangaze swala la mavazi makanisani.