Jaman mwenye experience na utumiaji wa account ya kibubu ya DCB ambayo unafungua na kuanza kudeposit kweny kibubu kwa simu anisaidie kushare.
Nahitaji kufungua account hiyo.
Habarini wana Jamvi.
Kama ilivyokuwa kwa Jamii za magharibi, karne ya 20, Ushoga umekuwa ni janga katika karne ya 21 barani Africa. Nimeta Janga kwa namna jamii nyingi za bara hili wanavyotafsiri...
Cha kwanza kabisa nianze na swalam kwa wakubwa zangu (kheshma kwenu) na rika langu habari za sahizi.
Leo ningependa kuwasilisha maswali yangu kwa hiki chama cha wanasheria (TLS) kama mtanzania wa...
Mtu upo kwenye daladala asubuhi unaongea na simu safari nzima tena kwa sauti ilihali we mtu mzima, abiria wote wapo kimya kusikiliza maongezi ya kupatanisha familia zenu huo ni upuuzi!! kwanini...
kuna tetesi ya kwamba ile treni inayofanya safari zake kutoka gongo la mboto hadi posta imepinduka asubuhi ya leo.
Mliopo maeneo gongo la mboto na viunga vyake hebu tupeni mrejesho kuhusu taarifa...
Mamlaka ya Uhamiaji nchini, imesema imeanzisha zoezi maalum la utambuzi wa abiria watakaokuwa wakisafiri kwa kutumia vitambulisho vya taifa kwa baadhi ya wasafiri wa mikoa minne nchini, lengo...
Jamii yoyote ile inayosukumia tatizo kwa Mwanamke ni jamii ya watu ambao hawajakomaa kiakili na kifikra, ni kama mtoto mdogo, jamii zote zilizostaarabika Wanawake hushirikiana na Wanaume kutatua...
Habari za usiku wanaJF
Naomba msinipige mawe please
Mimi ni binadamu na mapungufu ni kawaida sana ,inshort sijakamilika.
Nikiri tu nilipograduate nikaingia govt,baada ya mwaka nikapigiwa simu...
Hivi Muongozo wa katiba hapa ukoje? Je watu hawa wanaruhusiwa kuishi kama raia wa Tanzania baada ya gender reassignment surgery? Je wanaruhusiwa kupata vyeti vya ndoa?
NB: Mimi ni conservative...
Hivi kwa mfano yule Kondakta akaanza kutaja majina ya watoto mchelemchele mara pa!! Umetajwa ilihali wewe si MCHELE MCHELE ...Je ni nani atakayekusafisha?? Nani atakayekulipa kwa kuchafuliwa...
Habali zenu wakuu Mimi bado nipo nakomaa na maisha ya huku bondeni japo magumu nayajua mwenyewe, ninachotaka kuwashitua wakuu ni kwamba hapa south watu wana UKIMWI sijawai kuona watu wameathilika...
WATU WENGI WALIKUWA WANASUBIRI KUMSIKIA MH RAIS MCHAKATO WA KATIBA MPYA
NNA WENGINE WALISHAJIPANGA KUAGIZA MAGARI NJE KWA POSHO ZA KATIBA MPYA
RAISI WA WATU RAISI WA WANANCHI AMEZIMA NDOTO HIZO...
Katika jambo sijawahi kukubaliana nalo ni mauaji ya halaiki ya wayahudi yanayodaiwa kua yalifanywa na Adolf Hitler kabla ya vita ya pili ya Dunia.
Mimi kwangu huu hua nauchukulia kama uongo...
Nianze kwa kusema kwamba MUNGU anatupenda wanadamu sote, wema na waovu. Japokuwa hakuna mwema hata mmoja chini ya jua. Sote tumepotea.
Kwa sababu ya uovu wetu YESU alikufa MSALABANI ili alipe...
Nimejaribu kufuatilia mjadala wa hali ya uchumi Tanzania unaoendelea nikabaini mjadala huu ni "one sided"
walioshikilia mjadala huu ni serikali. wanaongelea mtizamo wao jinsi serikali...
Na katika kumuunga mkono kuanzia leo sitachangia mtu yeyote mchango wa harusi. Nimefurahishwa sana na utaratibu alioutumia wakati anafunga ndoa yake, hakutaka makuu Kiukweli ukiangalia kwa makini...
Wakuu habari za leo ,poleni na mihangaiko ya kila siku .
Naomba mtu anaefahamu import process kwa hapa Tz ,Steges (A-Z) natanguliza shukrani (nikipata mtu ambae anafanya au alishawahi kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.