IKITOKEA HIVI.....ITAKUWAJE???

IKITOKEA HIVI.....ITAKUWAJE???

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Posts
1,744
Reaction score
1,944
Hivi kwa mfano yule Kondakta akaanza kutaja majina ya watoto mchelemchele mara pa!! Umetajwa ilihali wewe si MCHELE MCHELE ...Je ni nani atakayekusafisha?? Nani atakayekulipa kwa kuchafuliwa huko???
Je unadhani familia yako itakuheshimu kama mwanzo maana hata kama ukikana kwa akili ya binadamu hawatakuamini. So inshort utakuwa umechafuliwa milele mpka utakapofukiwa ardhini.
 
Usitegemee konda kumtaja kapuku, hapo anataka apate hela kwa matajiri, ataenda kuwaambia ana majina na hata picha zao wakikataa kumpa hela anawasukuma ndani. Hii vita haian tofauti kubwa na ile ya madawa ya kulevya pale alijipatia mapaka ndinga kali za bure kuna watu wanaogopa jea balaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom